Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 5,072
- 11,287
Mkuu hoja yako ingekua na mashiko kama ungetumia mfano wa mechi ambayo simba amecheza na yanga hapa karibuni sio mechi na wydad.Imekosa magoli matatu at the same time uanataka tuchukue ushauri wake?
Unaiona imecheza vizuri kwasababu imekutana na mpinzani wa standard yake. Mbinu za kumkabili Gongowazi huwezi ku apply kwa Wydad utachekwa
Ebu tufikirie hili kidogo.....unaishaurije Simba ambayo ni ya 7 Africa kuwa ichukue ushauri kutoka timu ambayo hata CAF hawaijui?
Hivi watani zetu Al Ahly watajiskiaje? Imagine that
Mi nadhani huu ushauri ungepaswa kuwafaa wale wenzao waliotoa nao sare wakautumie kujirekebisha kwa wenzao huko kwenye hatua zinazofuata ili wafike robo