Simba SC kuendeleza ubabe dhidi ya Yanga siku ya Jumamosi?

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Mnyama mkali kuwahi kutokea dunian, Simba sc atakuwa dimbani kuchezea dhidi ya timu ndogo Yanga sc nusu fainali ya Azam federation cup jumamosi hii.

Ikumbukwe kuwa Simba sc wamekuwa wakiifumua vilivyo watani zao 🐸 katika mashindano haya.

Wamekutana mara mbili, huku mnyama huyo mkali akiibuka mshindi katika mechi zote mbili nakufunga jumla ya magoli matano huku mtani wake 🐸 akiambulia goli moja pekee.

Natabiri tena Simba sc kuendeleza dozi kali jumamosi hii dhidi ya timu ndogo Yanga sc.

 
Sawa tusubiri hiyo siku, nitatoa tathimini yangu siku ya mechi
 
Hyo mechi Simba amhatobui.. tena jumamosi nabeti mapema kabisa.. hyo mechi Simba lazima aliwe kiboga tena mpema tu
 
Simba mwenyewe sasa .......

 
Kweli Mfa maji haachi kutapatapa. Timu imefungwa kwenye ngao ya jamii! Imevuliwa ubingwa wa Ligi kuu! Imetoa sare tasa mara 2! Itashindwa vipi kufungwa nusu fainali!

Mbaya zaidi Yanga iko kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Kirumba Mwanza! Ningekuwa shabiki wa JUJU FC, hiyo Jmosi ningejificha tu kutwa nzima ili kuficha aibu.
 
Utatueleza nini kilikufanya undhulumu geita mgegedo unawahusu
 
Nitarudi kwako jmos jioni.
Save it
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…