Simba Sc inampumulia Yanga kisogoni kabisa

Simba Sc inampumulia Yanga kisogoni kabisa

Waamuzi wetu wa mchongo Kepha Kayombo, Japhet Smart na Shomary Lawi wanastahili maua yao 💐🌹🌷. Maana kazi wameifanya kwa kweli! Na matokeo yameonekana.

Ila mwishi wa siku pamoja na kubebwa kote huko na hao waamuzi wa mchongo, Bodi ya ligi, na Wallace Karia! Yanga 💚💛 ndiyo Bingwa kwa mara ya nne mfululizo. 🥇🏆
Waleee fainali shirikisho...
Bado NBC tunawapumulia pumzi y moto...
Yani ni ubaya ubwela tuu kila kona
 
Mechi ya Kayoko dhidi yetu ilotuathiri pakubwa.

Bahatibaya ya Chasambi pia ilitushusha.

Kama sio hayo Leo hii ligi tungekua mbele.
 
Waleee fainali shirikisho...
Bado NBC tunawapumulia pumzi y moto...
Yani ni ubaya ubwela tuu kila kona
Bila ya waamuzi wenu wa mchongo, aisee nyinyi mtabakia kuwa wepesi siku zote.
 
Bila timu zenu 8 zinazowapa mechi nyepesi nyie mngakua mnakipiga na gwambina...hahahaha nadhani umeyaona madhara yake
Timu yako ya simba bila shaka na yenyewe ipo kwenye hiyo orodha. Na kama umeisahau, basi tuijumlishe ili ziwe timu 9!
 
Timu yako ya simba bila shaka na yenyewe ipo kwenye hiyo orodha. Na kama umeisahau, basi tuijumlishe ili ziwe timu 9!
Simba bila makando kando ya kayoko weee huwezi usingekua unaongea muda huu....
Simba bila kupitia milango isiyo sahihi na kuruka mageti huwezi mfunga...
 
Simba bila makando kando ya kayoko weee huwezi usingekua unaongea muda huu....
Simba bila kupitia milango isiyo sahihi na kuruka mageti huwezi mfunga...
Kayoko amechezesha derby ngapi? Na mchezo wenu wa mwisho mlio lala kwa goli 1 -0, Kayoko ndiyo alimshauri Camara kuokoa mpira uliokuwa unatoka? Kayoko ndiyo alimwambia Kijili ajifunge?

Je, madhaifu ya Kayoko unaweza kuyalinganisha na ya hao waamuzi wenu wa mchongo?
 
Mzee baba tuliza jazba....hilo goli la juzi sio lenu tumewapa kwa mkopo kwa sbb hata nyie wenyewe mnajua kuwa mlibebwa tutalilipa soon as possible....kwani mbona sisi tumewafunga sana tuu au unajisahaulisha...
Mnalalamikia waamuzi mbona ya kwenu ya timu 8 mlitulia...hizo timu ndo zimewafanya mfike hapo...zinampa kiburi boss wa magodoro akihojiwa tuu Yanga bingwa
 
Back
Top Bottom