Simba Sc inampumulia Yanga kisogoni kabisa

Waamuzi wetu wa mchongo Kepha Kayombo, Japhet Smart na Shomary Lawi wanastahili maua yao πŸ’πŸŒΉπŸŒ·. Maana kazi wameifanya kwa kweli! Na matokeo yameonekana.

Ila mwishi wa siku pamoja na kubebwa kote huko na hao waamuzi wa mchongo, Bodi ya ligi, na Wallace Karia! Yanga πŸ’šπŸ’› ndiyo Bingwa kwa mara ya nne mfululizo. πŸ₯‡πŸ†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…