Simba SC haitafanya vizuri Kimataifa

Kwanini wachambuzi wa Tanzania mnakua hivi lakini, Nimetoka kumsikia Jeoff Leah wa E FM anasema eti Simba Sc haitaweza kufanya vizuri kimataifa kwa sababu imepoteza wachezaji wake bora na hawa waliosajiliwa wataanza kuonesha ubora pale tu Simba Sc itapokua imeshatolewa kimataifa , kwa kweli iliniuma sana kuona watu wanalipwa mishahara kuongea ujinga

Last week nilimsikiliza huyu huyu Geaf Leah wakati akiizungumzia Taifa Stars kuhusu kufuzu world cup, alisema ni ngumu kwa Tanzania kufuzu kombe la dunia kitu ambacho ni ukweli lakini akasema ni ngumu kwa Tanzania kuongoza hata Kundi J na ikitokea kaongoza basi Oscar Oscar na Maulid Kitenge wachukue mshahara wake wa mwezi mmoja nikawaza kweli kuna mchambuzi anaeona kuna ugumu huo kwa Tanzania kufuzu kundi ambalo Yupo Benin,Madagascar na DRC mpaka aweke mshahara wake rehani

Simba hii inawezaje kuwa mbovu kwa kuondokewa na wachezaji wawili tu yaani chama na luic, na labda nimwambie warithi wa Luis pale simba ni wengi mtu kama Morrison na Banda ni mawinga wazuri mno , mtu kama chama ana alikua na umuhimu sana kwa simba lakini sio kufikia team kua mbovu baada ya yeye kuondoka na Simba inaweza kua nzuri pengine kuliko ya mwaka Jana

Labda nimkumbushe kuwa Simba iliwahi kufika robo fainali ikiwa na Rashid Juma,Mlipili,kotei na wachezaji wengi wa kawaida kuliko waliopo sasa na hata walimfunga Al Ahly na As Vita pamoja na team bora toka Algeria kwa kipind hicho yaam Js Saoura kwanini hii isifanye vizuri

Na labda nimwambie kama alikua hajui team nyingi hazina viwango vya kutisha hivyo ndo maana Azam,Biashara na Namungo wanafanya vizuri labda nimkumbushe kua wale namungo walifanya vizuri sana msimu uliopita hata kundi lake ni vile lilikua gumu mno mfano pyramids na Raja Athletic ambae alikua bingwa kabisa lakini hawakupata matokeo ya ajabu hivyo mpaka tuseme namungo walikua wabovu ,Simba inaenda kutana na team za Africa tena akiwa Giant sio team za ulaya sio za ulaya kama Bayern au madrid

NB: RASMI NIMEKUSHUSHA VYEO JEOFF LEAH
Ndogo kazi waliyotumwa na GSM
 
Dua la kuku hilo. Usifananishe Simba na Utopolo
 
Back
Top Bottom