Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,583
Unajua CV ya huyu refa aliyechezesha leo?
Unaelewa kabla ya mpira kupigwa tayari kuna vijeba kadhaa vigimbi vyao vilizidi?
[emoji23][emoji23][emoji23]matani mengine sio ujue.Russia point 3 goal 6
Yanga Point 1 goal 1
Somalia point 1 goal 1
Ukraine point 0 goal 0
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
La pili linaingia saa ngapi?
Mpaka unafurahii mwenyewe
Hapo tutaona magoli sasa
Sasa Hata Coach Wako Huna Imani Nae We Ndugu Yangu Una-support Kikundi Cha Wahuni.Kocha amebet huyuu
Sasa Hata Coach Wako Huna Imani Nae We Ndugu Yangu Una-support Kikundi Cha Wahuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππDahRussia point 3 goal 6
Yanga Point 1 goal 1
Somalia point 1 goal 1
Ukraine point 0 goal 0
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
Haka kakundi kagumu sana. Tukitoboa hapa nusu fainali naiona
mkaongoza kundi gani shirikisho?Unajua alichokufanya kwenye Ngao
kisinda anasemaje hapo avic town πππ
Mkuu Unatimu Sasa Ya Kushinda Goal Zaidi Ya Moja Hapo?
Maana Hata Hilo Moja Midfielders Ndio Wanatapatapa Kupatikana Maana Kagere Na Wenzie Wanaingia Uwanjani Kushangaa Waarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasisahau kuwasindikiza waarabu wao airport wakat watakapokuwa wanaondokaWaarabu wa Tanzania na wale wa Morocco wote leo watalala na viatu.
Kamba ni warembo-warembo tu sio?
Mke analalamika kwamba mumewe kaonewa .Wasisahau kuwasindikiza waarabu wao airport wakat watakapokuwa wanaondoka
Sent using Jamii Forums mobile app