kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,377
- 10,121
Alafu katika wanaume nani anajipigia tu mwenzie?
Kumbe Princess ni mmoja?Wajifunze english hao utopolo, princess ndio nini sasa wakati wapo wengi!
Huu ni ukweli mkuu! Mabinti wa kitanzania ni wazuriii
Princess ni binti wa mfalmeKumbe Princess ni mmoja?
nigeria kenya kuna warembo gani sasa?
Kumbe Princess ni mmoj
jiulize ni singular au plural?Kumbe Princess ni mmoja?
Hizo points tuwape Simba WanaumeSimba imeendeleza ubabe wa Ligi kuu ya Wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa Kuifunga tena mabao 3-1 kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Simba ambayo inafukuzia ubingwa ikiwa kileleni mwa msimamo kwa pointi 34, msimu huu katika ligi imefunga mabao 39 na kuruhusu saba tu, wakati Yanga iliyo katika nafasi ya tatu, imefunga mabao 18 na kufungwa mabao 10.
View attachment 2974729
Source - Mwanaspoti
Ukiongezea na juhudi za Mloganzila basi Pisi za Tanzania hazishikiki kwa kweli! 😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Huu ni ukweli mkuu! Mabinti wa kitanzania ni wazuriii
Mungu kawaongezea na maumbo siku hizi
Yaani tunaizidi rwanda
Utacheza kama kipa au mshambuliaji?Ni wakati wangu wa kujiunga Yanga Princess..!🤸
Ninashambulia kuliko Didier Drogba🤸Utacheza kama kipa au mshambuliaji?
Drogba ni mwanaume ujue, huwezi jifananisha naye ilhali we ni princess 😂Ninashambulia kuliko Didier Drogba🤸