Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,047
- 134,349
uzi unazungumzia Simba itampiga mwarabu,akuna neno"Yanga atafungwa na Mazembe"ila akili yako ndo imejiswitch kuandika ulichoandika,,,umenipata!Mashabiki wa simba wanafurahisha mno, wakati wakiamini Yanga itafungwa na TP Mazembe, wao wanaamini wataifunga Raja.... Hakika wanafurahisha mno
The reverse is also true...Mashabiki wa simba wanafurahisha mno, wakati wakiamini Yanga itafungwa na TP Mazembe, wao wanaamini wataifunga Raja.... Hakika wanafurahisha mno
Mashabiki wa simba wanafurahisha mno, wakati wakiamini Yanga itafungwa na TP Mazembe, wao wanaamini wataifunga Raja.... Hakika wanafurahisha mno




Kila nyuzi zako huwa zinakubumia sijui una nini?

kuna watu wana gundu balaa


