Mh, kumbe wanawatumia waamuzi kuiua Simba wameumbuka. Hukumu, Adhabu na Uamuzi, bila kutoa pesa hakuna kucheza, haijatokea mtuhumiwa kunyimwa nafasi ya kujitetea hata kama ana adhabu kukata rufaa endapo hajaridhika. Uchugu wann kwani hamuwezi kuwafundisha yosso wenu? Kuzawazisha hizo goli 3 ndo nongwa, waamuz wale mliwapa zawad kwa kulinda vipaji, na hawa wauwaji wa vipaji ndo mwaona bora kuangusha rungu msmbaz kutengezea tim yenu ubingwa. Tambwe, Kiiza kina Kpre ndo fahar wafungaji wa KTZ kuwaulia vpaji. Tunataka tim nzuri sanaaa ya Taifa