oh koplo mbangula hatariHii timu yangu natamani waache propaganda ingewezekana waachane na media wajifiche sehemu wajinoe haswa, Hizi propaganda za Ahmed Ally ipo siku atakuja kupigwa mawe, jamaa akiongelea kuhusu Simba utadhani ni Real Madrid au Man City, watu tunaaminishwa uwezo ambao wachezaji hawana na tunapata expectations kubwa wakati wa usajili.
Sifa walizopewa kina Fred Michael uwezo wao hata robo ya tunachoambiwa haiki, sometimes nahisi wanasajili magara makusudi ili wapige hela ila wanamwandaa Ahmed Ally akapige domo.
Simba wafanye mambo yao kimya kimya wanatuchosha na kelele nyingi,timu ikifanya mambo yake kimya kimya hata ikidondosha point haiumizi sana maana watu washajiandaa kisaikolojia kuliko kelele nyingi za Ahmed Ally uwanjani wanacheza upumbavu.
Huyo jamaa wa kushoto nilipokuwa namaliza darasa la saba yeye alikuwa darasa la tatu ! Mimi nilishastaafu utumishi serikalini miaka mitano iliyopita.Naunga mkono hoja 🤣🤣😂😂😁 timu imejaa wazee sanaView attachment 2928742
Naunga mkono hojaHuyo jamaa wa kushoto nilipokuwa namaliza darasa la saba yeye alikuywa darasa la tatu ! Mimi nilishastaafu utumishi serikalini miaka mitano iliyopita.
Yaani bado mnamwamini kiongozi ambaye hatunzi kauli zakeHii timu yangu natamani waache propaganda ingewezekana waachane na media wajifiche sehemu wajinoe haswa, Hizi propaganda za Ahmed Ally ipo siku atakuja kupigwa mawe, jamaa akiongelea kuhusu Simba utadhani ni Real Madrid au Man City, watu tunaaminishwa uwezo ambao wachezaji hawana na tunapata expectations kubwa wakati wa usajili.
Sifa walizopewa kina Fred Michael uwezo wao hata robo ya tunachoambiwa haiki, sometimes nahisi wanasajili magara makusudi ili wapige hela ila wanamwandaa Ahmed Ally akapige domo.
Simba wafanye mambo yao kimya kimya wanatuchosha na kelele nyingi,timu ikifanya mambo yake kimya kimya hata ikidondosha point haiumizi sana maana watu washajiandaa kisaikolojia kuliko kelele nyingi za Ahmed Ally uwanjani wanacheza upumbavu.
Too much propaganda sio poaaaaoooooooohhhh
Vile virungu viwili vya ukogo vimempandisha cheo asaiv ni inspector mbangulaoh koplo mbangula hatari