Simba leo tumebebwa penati ,duh

Hata ile offside tulipendelewa, nyoni alimpa mpira forward wa KMC linesman kasema offside. Leo tumebebwa
 
Wamefungwa KMC wanaumia wengine.
Haya ni matumizi mabaya ya Maumivu.
hizi ni baadhi ya threads zangu za kumkandia papaa zahera na Tasaf fc ,kuongelea madudu yaliyotokea leo kirumba hakunifanyi nisiwe mshabiki wa simba







 
Ndiyo maana mashindano ya afcon mwaka huu ingawa sisi ni wenyeji, lakini nimemuona Jonsia Rukya pekee akichezesha! Marefa wa kiume wote bila shaka wameachwa kwa sababu ya kutokujitambua kwao!
 
hizi ni baadhi ya threads zangu za kumkandia papaa zahera na Tasaf fc ,kuongelea madudu yaliyotokea leo kirumba hakunifanyi nisiwe mshabiki wa simba
Tukusaidiaje? Kwa akili yako KMC wangeshinda au wakishinda watakuwa nafasi ya tatu au ya pili kwenye TPL? Bora ungesema AZAM sawa lakini siyo kwa timu hizo?
 
Tukusaidiaje? Kwa akili yako KMC wangeshinda au wakishinda watakuwa nafasi ya tatu au ya pili kwenye TPL? Bora ungesema AZAM sawa lakini siyo kwa timu hizo?
umesoma uzi wangu ukaelewa?????nimechukia kushindwa kufunga kwa clear chances siyo kuja kufunga kwa penalty za kupewa ,simba is better than that,halafu mabeki wa kushoto na kulia wanapitika kirahisi sana,kipindi cha kwanza zana alikuwa uchochoro,kipindi cha pili kaingia msuva tshabalala kawa uchochoro
mechi ya alliance niliona Gyan alivyokuwa havuki nusu ya mstari akawa na nidhamu ya kukaba nikaju ni mbinu ya kocha leo nashangaa zana anapanda kurudi nyuma mzito kwelikweli kabunda akawa anateleza tu
 
ukisema unaambiwa ni TASAF,penalty ya kwanza sawa ila ya pili hapana aisee ni ball to hand na siyo kwamba kuna movement iliyozuiwa ni beki aliokoa ukagonga mwenzake,vipi ile ya nyoni dakika ya mwisho kurudisha nyuma refa akasema ni offside kwa kmc?
In short refa pamoja na vibendela hawakuwa makini the same scenario ilitokea kwa kagere kupasiwa mpira na mchezaji wa kmc ktk kipindi cha kwanza dk za mwanzo lakini kibendera akasema offside sijui nayo umeisahau,
Pili suala la kushika lina ukakasi sana maana huwa linawachanganya waamuzi lakini all in all inabaki tafsiri ya muamuzi
 
Mbute mbute presha inapandaa kuona tumesogea nafasi ya pili
 
hizo ni baadhi ya threads zangu nikiikandia yanga na Papaa zahera,yaani kusema ukweli kwamba tumebebwa leo ndiyo nimekuwa siyo simba?vipi kuhusu lile boko la nyoni alilorudisha nyuma refa akasema offside Kmc wakiwa wanenda kusawazisha?









Mbona ile dakika za mwanzoni kabisa mchezaji wa kmc alivyorudisha nyuma ikamkuta kagere refa akasema ni offside huisemi...kwa hiyo maamuzi yakuiumiza simba ni sawa but yakitokea maamuzi ambayo yanawafaidisha simba basi tunakuja kuanzisha thread simba anabebwa....round ya kwanza mechi ya simba na yanga okwi alifunga goli clear kabisa refa akasema ni offside but hakukuanzishwa thread humu
 
Jamani ile penalty ya pili hapana aiseee,hata sijashangilia,najua wachezaji wanachoka kwa ratiba iliyobanana ila waongeze umakini kwenye chances wana zo create,maana kama kipindi cha kwanza walipoteza chances nyingi sana
Tushukuru tu refa kwa ile controversial penalty ya pili.
NA BADO SANA MANA SISI WENZENU TULIENDA MPK FIFA KULALAMIKA JIANDAENI NA NYNY MUENDE
 
Back
Top Bottom