Simba kwenda Pemba ni kuchanganyikiwa

Simba kwenda Pemba ni kuchanganyikiwa

Status
Not open for further replies.

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
Wivu hufanywa na wanawake wasiofanya kazi au watoto wadogo ni mara nyingi Yanga huweka kambi bagamoyo au Pemba na Simba huweka Unguja sasa leo hii wanawaiga yanga eti wanaenda Pemba.

Nawauliza tuwaweke kundi lipi la mwanamke au la mtoto.
 
wivu hufanywa na wanawake wasiofanya kazi au watoto wadogo ni mara nyingi Yanga huweka kambi bagamoyo au pemba na simba huweka Unguja sasa leo hii wanawaiga yanga eti wanaenda pemba.nawauliza tuwaweke kundi lipi la mwanamke au la mtoto
naona usiku wa leo ulimuota simba kakupakata,sababu hii ni thread ya pili unaituhumu simba kwa leo..acha wivu simba wakienda pemba yanga atapungikiwa nini?au mnahisi mganga wenu alie wasaidia kushinda jana atajulikana.?
 
mganga wp?ujuzi ww
 
yanga hana habari ya waganga wala kuhonga mwamuzi wala wachezaji wa timu pinzani kama----------!
 
Yanga kumsajiri jaja na kumuacha okwi ni furaha sana
 
wivu hufanywa na wanawake wasiofanya kazi au watoto wadogo ni mara nyingi Yanga huweka kambi bagamoyo au pemba na simba huweka Unguja sasa leo hii wanawaiga yanga eti wanaenda pemba.nawauliza tuwaweke kundi lipi la mwanamke au la mtoto

ushabiki mandaz
 
Cmba wameingia kiwewe,maana wenyewe walikuwa wanadai watamfunga Yanga 7 hiyo 12 okt,walichokiona jana hawakukitegemea,maana maximo mpk jana ana clean sheet ya mechi 6 bila beki yake kuruhusu goli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom