DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Kuwa specific bro nanii? Acha kuzunguka zunguka na wakati wachezaji wanajulikana.....inonga au Nani????Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani...
Ndo maana wenye akili ni wawili YangaBocco asitoke please! Sisi washabiki wa Simba tuna imani na Bocco. Bado ni kipenzi. Bocco bado ana nafasi na uzee wake ni dawa
Hata usingemjibu aendelee kunyamba....
Nimejaribu kumuongeza imeshindikana. Inaonyesha wakishaanza kuvote hairuhusu tena kuedit machaguo. Ila siyo mbaya, wanaomtaka waendelee kumtaja tutajumlisha kura zake mwishoni.Mbona haujamweka Mohamed Hussein? Mm naona anajituma sana na ana moyo na Simba...
He is Simba's Icon....
Wewe sio simbaBocco asitoke please! Sisi washabiki wa Simba tuna imani na Bocco. Bado ni kipenzi. Bocco bado ana nafasi na uzee wake ni dawa
Piga kura yako bro. Kama kuna unayemtaka awe nahodha ila hajaorodheshwa hapo, mtaje tuKuwa specific bro nanii???? Acha kuzunguka zunguka na wakati wachezaji wanajulikana.....inonga au Nani????
kwani hizo 2 alipoteza vpππππSimba kwenye mech hyo anakufa, wydad kapoteza mech 2, hatakubali kupoteza ya 3 kabisa.
Hii sio sababu.Simba kwenye mech hyo anakufa, wydad kapoteza mech 2, hatakubali kupoteza ya 3 kabisa.
Tunakujua wewe ni Yanga lia lia kwa hiyo kwenye hili mtuache familia. Mawazo yenu hayawezi kuwa na nia nzuri kwa SimbaBocco ndio injini ya timu, tafadhali sana aendelee kubaki na kitambaa cha unahodha.
Simba inamuhitaji Bocco kuliko kipindi chochote.
Mbona nyie mliingilia suala la Feisal na hata majuzi hapo mkamuunga mkono Gamondi kwenye kukataa mechi kupewa jina la mchezaji?Tunakujua wewe ni Yanga lia lia kwa hiyo kwenye hili mtuache familia. Mawazo yenu hayawezi kuwa na nia nzuri kwa Simba