Simba kufuru:Ngoma abugizwa 180m,kusaini mda wowote

Na mkifungwa mwakani msije kulalama hapa kuwa kulikuwa na mamluki wa yanga wakati mnayataka wenyewe.
Hilo litegemee kabisa.

Tayari wanayo sababu nzuri ya kukosa ubingwa - mamluki wa Yanga.

Uzuri wenyewe watu wao mbumbumbumbu wakiambiwa sababu hizo, wataweza tu.
 
Atakuwa mpumba.vu kukataa hela kama hiyo. Itamsaidia matibabu South Africa!
 
Daah huyo Ngoma mbona ni wa kawaida sana aisee na pia injury zinakuwa hazimwendei mbali kama Sturridge wa liver nadhani simba watakuja kujuta sana baadae wasipokuwa makini kipindi hiki cha usajili maana si kwa matumizi hayo na pia wangejaribu kutazama performance ya mtu msimu uliopita kuliko kutazama jina hiii itawacost.
 
Baada ya Ngoma mchukueni Chirwa, Bossou na Mkata umeme! Naona mmebadili sera yenu ya kusajili wavulana! Hamueleweki mnajenga, mnaimarisha au mnabomoa timu!
Mkuu kwani smba walikuwa na sera ya kusajili wavulana tu?
 
Mkuu kwani smba walikuwa na sera ya kusajili wavulana tu?
Ndio zilikuwa swaga zao hizo huku wakidai Yanga tunasajili wazee! Nashangaa sasa hivi wanawasajili hao waliowaita madingi kwa mamilioni! Simba ni mambumbu daima!
 
Ndio zilikuwa swaga zao hizo huku wakidai Yanga tunasajili wazee! Nashangaa sasa hivi wanawasajili hao waliowaita madingi kwa mamilioni! Simba ni mambumbu daima!
Mambumbumbu kusajili wachezaji mnaofanya nao mazungumzo kuwaomba waongeze mikataba?
 
Mambumbumbu kusajili wachezaji mnaofanya nao mazungumzo kuwaomba waongeze mikataba?
Tatizo nyie mliwaponda kuwa ni wazee walipokuwa Yanga lakini sasa ndio hao hao mnaowasajili kwa mamilioni! Hiyo ni sehemu mojawapo ya umbumbu wenu!
 
Hata mumchukue na kamusoko ubingwa mtausikia redioni tu. Wazee wa kampa kampa tena wanawachora mjue ni vijisenti vyenu vya ngama
 
Mo anainunua simba kilainii hapo mnazidisha madeni tu hadi msimu ukiisha mtakuwa mshatumia 10b zinabaki 10b akimalizia anaichukua simba.
Bora aichukue, Sie tunataka raha kama mashabiki. Wanaotaka kuishi kwa kutegemea club ile kwao.
 
Back
Top Bottom