Simba kufungwa yamgusa Azizi Ki

Simba kufungwa yamgusa Azizi Ki

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
283
Reaction score
804
Jana ilikuwa siku ambayo Azizi Ki aligundua kuwa anacheza kwenye timu yenye baadhi ya watu wasio na upeo wa kutosha kuhusu maana halisi ya mpira – watu wanaoendeshwa zaidi na hisia kuliko uzalendo kwa taifa.

Wakati mechi kati ya RS Berkane ya Morocco na Simba SC ikiendelea, baadhi ya wachezaji wa Yanga pamoja na viongozi wao walikusanyika sehemu moja kuiangalia. Cha kushangaza, walipoona Simba wakifungwa, baadhi yao walianza kushangilia kwa furaha, kana kwamba kilichokuwa kinaendelea hakihusu timu kutoka Tanzania.

Lakini kwa upande mwingine, Azizi Ki alionekana kusikitika sana. Aliumia kuona Simba wakifungwa, si kwa sababu anachezea Simba, bali kwa sababu anajua kwamba mafanikio ya Simba ni mafanikio ya soka la Tanzania kwa ujumla. Wakiwa mabingwa, Tanzania inapata heshima kimataifa – heshima ambayo pia inamhusu yeye kama mchezaji anayewakilisha klabu ya Tanzania.

Simba wakifungwa, ni aibu kwa taifa. Na Azizi Ki anaelewa hilo vizuri. Ndiyo maana alionekana kuumia, tofauti kabisa na wachezaji na viongozi wenzake waliokuwa wakishangilia kipigo cha Simba.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba baadhi yao waliamua hata kupakia video hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii, wakionesha wazi furaha yao kwa kushindwa kwa wawakilishi wenzao wa nchi.

Azizi Ki sasa ameshajua – anacheza na watu ambao si tu hawajui thamani ya mshikamano wa kitaifa, bali pia hawajui kuwa soka ni zaidi ya ushindani wa ndani; ni taswira ya taifa.
 
Timu za Kkoo hazijawahi kupenda, mwaka jana kuna watu waliingia uwanjani wakiwa wamevaa jezi za Mamelod wakishangilia majukwaani.

Sio bongo hata Tunisia Yanga alipokuwa kwa anacheza na Club African mechi ya mwisho ya kufuzu makundi shirikisho, kulikuwa na mashabiki watani wa Club African wakiwa wamevalia jezi za njano.

Juzi tuu hapa mashabiki wa Barca walikuwa wakiwacheka Madrid baada ya kutolewa na Arsenal UEFA na wiki inayo fuata kwenye fainali ya Copa Del Rey, Mashabiki wa Barca wakaingia uwanjani na flag zenye nembo ya Arsenal. Kuna msimu Barca alitolewa kwa jumla ya magoli saba nusu fainal,Madrid wakapost picha ya Morihno na wachezaji wa Madrid wakiwa wanakunywa 7up.

Kwenye mpira hasa ngazi ya Club hamnaga kitu kinachoitwa umoja wa uzalendo.Tukosema tutafute comment zenu wakati Yanga wakicheza fainal ya shirikisho, utakubali Ki yupo sawa.
 
Jana ilikuwa siku ambayo Azizi Ki aligundua kuwa anacheza kwenye timu yenye baadhi ya watu wasio na upeo wa kutosha kuhusu maana halisi ya mpira – watu wanaoendeshwa zaidi na hisia kuliko uzalendo kwa taifa.

Wakati mechi kati ya RS Berkane ya Morocco na Simba SC ikiendelea, baadhi ya wachezaji wa Yanga pamoja na viongozi wao walikusanyika sehemu moja kuiangalia. Cha kushangaza, walipoona Simba wakifungwa, baadhi yao walianza kushangilia kwa furaha, kana kwamba kilichokuwa kinaendelea hakihusu timu kutoka Tanzania.

Lakini kwa upande mwingine, Azizi Ki alionekana kusikitika sana. Aliumia kuona Simba wakifungwa, si kwa sababu anachezea Simba, bali kwa sababu anajua kwamba mafanikio ya Simba ni mafanikio ya soka la Tanzania kwa ujumla. Wakiwa mabingwa, Tanzania inapata heshima kimataifa – heshima ambayo pia inamhusu yeye kama mchezaji anayewakilisha klabu ya Tanzania.

Simba wakifungwa, ni aibu kwa taifa. Na Azizi Ki anaelewa hilo vizuri. Ndiyo maana alionekana kuumia, tofauti kabisa na wachezaji na viongozi wenzake waliokuwa wakishangilia kipigo cha Simba.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba baadhi yao waliamua hata kupakia video hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii, wakionesha wazi furaha yao kwa kushindwa kwa wawakilishi wenzao wa nchi.

Azizi Ki sasa ameshajua – anacheza na watu ambao si tu hawajui thamani ya mshikamano wa kitaifa, bali pia hawajui kuwa soka ni zaidi ya ushindani wa ndani; ni taswira ya taifa.
Huu ujinga wa kutaka kupata huruma za wanayanga ungekua unautaka kweli nyinyi makolo ndio mngetakiwa kuwa mfano wa kuigwa.

Yanga kacheza fainali na USM Alger makolo wote mlikuwa USM Alger na mkashangilia Yanga kukosa ubingwa.

Yanga kadhurumiwa goli na Mamelod makolo wote mlifurahia tena mkisema kabisa goli ni halali ila bora Yanga adhurumiwe hili wasitutambie.

Yanga katoka makundi mwaka huu mmeshangilia sana na mpaka sasa mnashangilia.

Halafu leo unataka uzalendo!

Uzalendo huo hapana.

Ukiutaka anza wewe kuwa mfano kwa kuuonesha.
 
Thread ifungwe, tulale....hiki kibaridi na kimvua sio poa bao tayari tunazo mbili 😁
 
Wewe ndio msemaji wa Aziz!?? Fala we!
 
Unashangaa nini mkuu kwa hao waswahili na makapuku wa temeke...naamin kwa 100% waliokua wanashangilia ni viongozi wa kitanzania wa hio timu na wachezaji wa kitanzania wa hio timu..sio professional players kama Aziz ki na wenzake wa nchi nyingine...hao mim sishangai kabisa...
 
Huu ujinga wa kutaka kupata huruma za wanayanga ungekua unautaka kweli nyinyi makolo ndio mngetakiwa kuwa mfano wa kuigwa.

Yanga kacheza fainali na USM Alger makolo wote mlikuwa USM Alger na mkashangilia Yanga kukosa ubingwa.

Yanga kadhurumiwa goli na Mamelod makolo wote mlifurahia tena mkisema kabisa goli ni halali ila bora Yanga adhurumiwe hili wasitutambie.

Yanga katoka makundi mwaka huu mmeshangilia sana na mpaka sasa mnashangilia.

Halafu leo unataka uzalendo!

Uzalendo huo hapana.

Ukiutaka anza wewe kuwa mfano kwa kuuonesha.
Sasa hivi Simba imepoa, inasubiri, sasa ikitokea ikapindua meza ndo utajua kuwa Simba inajitosheleza, wala haiitaji mashabiki wa nyongeza kuwasapoti labda awe Jk au Mzee Manara.
 
Basi na wewe olewa na Azizi k ili awe anaumia zaidi simba ikifungwa😂😂
 
Jana ilikuwa siku ambayo Azizi Ki aligundua kuwa anacheza kwenye timu yenye baadhi ya watu wasio na upeo wa kutosha kuhusu maana halisi ya mpira – watu wanaoendeshwa zaidi na hisia kuliko uzalendo kwa taifa.

Wakati mechi kati ya RS Berkane ya Morocco na Simba SC ikiendelea, baadhi ya wachezaji wa Yanga pamoja na viongozi wao walikusanyika sehemu moja kuiangalia. Cha kushangaza, walipoona Simba wakifungwa, baadhi yao walianza kushangilia kwa furaha, kana kwamba kilichokuwa kinaendelea hakihusu timu kutoka Tanzania.

Lakini kwa upande mwingine, Azizi Ki alionekana kusikitika sana. Aliumia kuona Simba wakifungwa, si kwa sababu anachezea Simba, bali kwa sababu anajua kwamba mafanikio ya Simba ni mafanikio ya soka la Tanzania kwa ujumla. Wakiwa mabingwa, Tanzania inapata heshima kimataifa – heshima ambayo pia inamhusu yeye kama mchezaji anayewakilisha klabu ya Tanzania.

Simba wakifungwa, ni aibu kwa taifa. Na Azizi Ki anaelewa hilo vizuri. Ndiyo maana alionekana kuumia, tofauti kabisa na wachezaji na viongozi wenzake waliokuwa wakishangilia kipigo cha Simba.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba baadhi yao waliamua hata kupakia video hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii, wakionesha wazi furaha yao kwa kushindwa kwa wawakilishi wenzao wa nchi.

Azizi Ki sasa ameshajua – anacheza na watu ambao si tu hawajui thamani ya mshikamano wa kitaifa, bali pia hawajui kuwa soka ni zaidi ya ushindani wa ndani; ni taswira ya taifa.
Hamisa ni mpenzi wa Simba na Aziz Ki ni mpenzi wa Hamisa.
 
Sasa hivi Simba imepoa, inasubiri, sasa ikitokea ikapindua meza ndo utajua kuwa Simba inajitosheleza, wala haiitaji mashabiki wa nyongeza kuwasapoti labda awe Jk au Mzee Manara.
Ni kweli magoli mawili si mengi kihivyo kwenye soka.

Simba inaweza kupindua meza.

Issue inakuja quality.

Je kwa ile mechi ya jana uchezaji wenu na quality za wachezaji wenu wanaweza kufanya hiyo come back?

Kumbuka mlishindwa kupata goli 3 dhidi ya timu dhaifu ya Al masry mechi ikaamuliwa kwa matuta seuze hawa Berkane ambao wameonesha kuku out perform kwenye kila aspects?
 
No reform no election, hatutafanikiwa kwa pesa za goli za mama muuaji.
 
AZizi ameumia kama mchezaji,,,unajua sisi wengine kwetu mpira ni burudani, lakini wa wachezaji ile ni ajira na kila mtu kwenye kibarua chake angependa kufanikiwa.
 
Jana ilikuwa siku ambayo Azizi Ki aligundua kuwa anacheza kwenye timu yenye baadhi ya watu wasio na upeo wa kutosha kuhusu maana halisi ya mpira – watu wanaoendeshwa zaidi na hisia kuliko uzalendo kwa taifa.

Wakati mechi kati ya RS Berkane ya Morocco na Simba SC ikiendelea, baadhi ya wachezaji wa Yanga pamoja na viongozi wao walikusanyika sehemu moja kuiangalia. Cha kushangaza, walipoona Simba wakifungwa, baadhi yao walianza kushangilia kwa furaha, kana kwamba kilichokuwa kinaendelea hakihusu timu kutoka Tanzania.

Lakini kwa upande mwingine, Azizi Ki alionekana kusikitika sana. Aliumia kuona Simba wakifungwa, si kwa sababu anachezea Simba, bali kwa sababu anajua kwamba mafanikio ya Simba ni mafanikio ya soka la Tanzania kwa ujumla. Wakiwa mabingwa, Tanzania inapata heshima kimataifa – heshima ambayo pia inamhusu yeye kama mchezaji anayewakilisha klabu ya Tanzania.

Simba wakifungwa, ni aibu kwa taifa. Na Azizi Ki anaelewa hilo vizuri. Ndiyo maana alionekana kuumia, tofauti kabisa na wachezaji na viongozi wenzake waliokuwa wakishangilia kipigo cha Simba.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba baadhi yao waliamua hata kupakia video hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii, wakionesha wazi furaha yao kwa kushindwa kwa wawakilishi wenzao wa nchi.

Azizi Ki sasa ameshajua – anacheza na watu ambao si tu hawajui thamani ya mshikamano wa kitaifa, bali pia hawajui kuwa soka ni zaidi ya ushindani wa ndani; ni taswira ya taifa.
Acha kuanzisha nyuzi za kipuuzi.simba huwa hawafurahii yanga kufungwa?muwalaumu viongozi wenu ndoa waliotufikisha huko.kama uzalendo basi ungeanza kwa simba.mlipoanzisha slogan ya ubaya ubwela hakujua maana yake?upuuzi anaongea ahmady ally wewe unaona ni sawa?wakanye I viongozi wenu kuanzia club mpaka TFF ndo chanzo cha hayo unayoyoma.simba wafungwe tu hata Magori 10 ndo tutajuana.
 
Sasa hivi Simba imepoa, inasubiri, sasa ikitokea ikapindua meza ndo utajua kuwa Simba inajitosheleza, wala haiitaji mashabiki wa nyongeza kuwasapoti labda awe Jk au Mzee Manara.
Mngenga'ng'ania uwanja wa mkapa walozi nyie.hakuna cha mkapa ni aman labda mkaloge huko wachawi nyie.
 
Ni kweli magoli mawili si mengi kihivyo kwenye soka.

Simba inaweza kupindua meza.

Issue inakuja quality.

Je kwa ile mechi ya jana uchezaji wenu na quality za wachezaji wenu wanaweza kufanya hiyo come back?

Kumbuka mlishindwa kupata goli 3 dhidi ya timu dhaifu ya Al masry mechi ikaamuliwa kwa matuta seuze hawa Berkane ambao wameonesha kuku out perform kwenye kila aspects?
Tunaweza fungwa tena, au tukadroo au tukashinda kwa margin ya kufa kiume badala ya kubeba kombe. Hili likitokea tutakuwa wapole, tutazikubali kebehi, dharau na kelele zote, msimu utakwisha na tutajiandaa kwa msimu ujao.

Kinyume na hapo kitakachotokea ni kuwakumbusha kuwa Simba imeshawahi pewa tuzo ya mashabiki bora.
 
Mngenga'ng'ania uwanja wa mkapa walozi nyie.hakuna cha mkapa ni aman labda mkaloge huko wachawi nyie.
Hii labda ndo unayotamani usiishuhudie maana unajua inamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom