Simba kufungwa yamgusa Azizi Ki

Simba kufungwa yamgusa Azizi Ki

Jana ilikuwa siku ambayo Azizi Ki aligundua kuwa anacheza kwenye timu yenye baadhi ya watu wasio na upeo wa kutosha kuhusu maana halisi ya mpira – watu wanaoendeshwa zaidi na hisia kuliko uzalendo kwa taifa.

Wakati mechi kati ya RS Berkane ya Morocco na Simba SC ikiendelea, baadhi ya wachezaji wa Yanga pamoja na viongozi wao walikusanyika sehemu moja kuiangalia. Cha kushangaza, walipoona Simba wakifungwa, baadhi yao walianza kushangilia kwa furaha, kana kwamba kilichokuwa kinaendelea hakihusu timu kutoka Tanzania.

Lakini kwa upande mwingine, Azizi Ki alionekana kusikitika sana. Aliumia kuona Simba wakifungwa, si kwa sababu anachezea Simba, bali kwa sababu anajua kwamba mafanikio ya Simba ni mafanikio ya soka la Tanzania kwa ujumla. Wakiwa mabingwa, Tanzania inapata heshima kimataifa – heshima ambayo pia inamhusu yeye kama mchezaji anayewakilisha klabu ya Tanzania.

Simba wakifungwa, ni aibu kwa taifa. Na Azizi Ki anaelewa hilo vizuri. Ndiyo maana alionekana kuumia, tofauti kabisa na wachezaji na viongozi wenzake waliokuwa wakishangilia kipigo cha Simba.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba baadhi yao waliamua hata kupakia video hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii, wakionesha wazi furaha yao kwa kushindwa kwa wawakilishi wenzao wa nchi.

Azizi Ki sasa ameshajua – anacheza na watu ambao si tu hawajui thamani ya mshikamano wa kitaifa, bali pia hawajui kuwa soka ni zaidi ya ushindani wa ndani; ni taswira ya taifa.
Wewe ni Hamisa hadi ujue ya moyoni kwake?
 
Huu ujinga wa kutaka kupata huruma za wanayanga ungekua unautaka kweli nyinyi makolo ndio mngetakiwa kuwa mfano wa kuigwa.

Yanga kacheza fainali na USM Alger makolo wote mlikuwa USM Alger na mkashangilia Yanga kukosa ubingwa.

Yanga kadhurumiwa goli na Mamelod makolo wote mlifurahia tena mkisema kabisa goli ni halali ila bora Yanga adhurumiwe hili wasitutambie.

Yanga katoka makundi mwaka huu mmeshangilia sana na mpaka sasa mnashangilia.

Halafu leo unataka uzalendo!

Uzalendo huo hapana.

Ukiutaka anza wewe kuwa mfano kwa kuuonesha.
Mbona umeanza ya juzi juzi anzia mwaka 1993, kushangilia wageni ilipoanza..
 
Usiwe mshamba wa mpira, mie simba damu simshamgai mshabiki wa yanga kuicheka simba, japo mie kuna muda huwa kweli nawaombea mazuri kimataifa ila wakifungwa nawatania..

Haiwezekani watu wa Tottenham, chelsea wakaiombea mazuri arsenal hata siku moja.

Ama liverpool na man city wakiombea mazuri man u

And vice versa
 
Jana ilikuwa siku ambayo Azizi Ki aligundua kuwa anacheza kwenye timu yenye baadhi ya watu wasio na upeo wa kutosha kuhusu maana halisi ya mpira – watu wanaoendeshwa zaidi na hisia kuliko uzalendo kwa taifa.

Wakati mechi kati ya RS Berkane ya Morocco na Simba SC ikiendelea, baadhi ya wachezaji wa Yanga pamoja na viongozi wao walikusanyika sehemu moja kuiangalia. Cha kushangaza, walipoona Simba wakifungwa, baadhi yao walianza kushangilia kwa furaha, kana kwamba kilichokuwa kinaendelea hakihusu timu kutoka Tanzania.

Lakini kwa upande mwingine, Azizi Ki alionekana kusikitika sana. Aliumia kuona Simba wakifungwa, si kwa sababu anachezea Simba, bali kwa sababu anajua kwamba mafanikio ya Simba ni mafanikio ya soka la Tanzania kwa ujumla. Wakiwa mabingwa, Tanzania inapata heshima kimataifa – heshima ambayo pia inamhusu yeye kama mchezaji anayewakilisha klabu ya Tanzania.

Simba wakifungwa, ni aibu kwa taifa. Na Azizi Ki anaelewa hilo vizuri. Ndiyo maana alionekana kuumia, tofauti kabisa na wachezaji na viongozi wenzake waliokuwa wakishangilia kipigo cha Simba.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba baadhi yao waliamua hata kupakia video hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii, wakionesha wazi furaha yao kwa kushindwa kwa wawakilishi wenzao wa nchi.

Azizi Ki sasa ameshajua – anacheza na watu ambao si tu hawajui thamani ya mshikamano wa kitaifa, bali pia hawajui kuwa soka ni zaidi ya ushindani wa ndani; ni taswira ya taifa.
Taifa Stars inafungwa kila siku! Simba kitu gani wewe! Halafu siyo lazima mitazamo kufanana. Kama huyo Aziz Kii ameumia, ni yeye! Siyo lazima kila mtu aumie kwa sababu eti simba kafungwa!

Simba imefungwa kwa sababu imezoea kubebwa na waamuzi wake wa mchongo pamoja na Bodi ya ligi. Kwa hiyo wavune tu walichopanda.
 
Jana ilikuwa siku ambayo Azizi Ki aligundua kuwa anacheza kwenye timu yenye baadhi ya watu wasio na upeo wa kutosha kuhusu maana halisi ya mpira – watu wanaoendeshwa zaidi na hisia kuliko uzalendo kwa taifa.

Wakati mechi kati ya RS Berkane ya Morocco na Simba SC ikiendelea, baadhi ya wachezaji wa Yanga pamoja na viongozi wao walikusanyika sehemu moja kuiangalia. Cha kushangaza, walipoona Simba wakifungwa, baadhi yao walianza kushangilia kwa furaha, kana kwamba kilichokuwa kinaendelea hakihusu timu kutoka Tanzania.

Lakini kwa upande mwingine, Azizi Ki alionekana kusikitika sana. Aliumia kuona Simba wakifungwa, si kwa sababu anachezea Simba, bali kwa sababu anajua kwamba mafanikio ya Simba ni mafanikio ya soka la Tanzania kwa ujumla. Wakiwa mabingwa, Tanzania inapata heshima kimataifa – heshima ambayo pia inamhusu yeye kama mchezaji anayewakilisha klabu ya Tanzania.

Simba wakifungwa, ni aibu kwa taifa. Na Azizi Ki anaelewa hilo vizuri. Ndiyo maana alionekana kuumia, tofauti kabisa na wachezaji na viongozi wenzake waliokuwa wakishangilia kipigo cha Simba.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba baadhi yao waliamua hata kupakia video hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii, wakionesha wazi furaha yao kwa kushindwa kwa wawakilishi wenzao wa nchi.

Azizi Ki sasa ameshajua – anacheza na watu ambao si tu hawajui thamani ya mshikamano wa kitaifa, bali pia hawajui kuwa soka ni zaidi ya ushindani wa ndani; ni taswira ya taifa.
Wakina hauwa na mpanzu baada ya yanga kuondolewa klabu bingwa wanajua thamani ya mshikamano wa kitaifa?
 
Huu ujinga wa kutaka kupata huruma za wanayanga ungekua unautaka kweli nyinyi makolo ndio mngetakiwa kuwa mfano wa kuigwa.

Yanga kacheza fainali na USM Alger makolo wote mlikuwa USM Alger na mkashangilia Yanga kukosa ubingwa.

Yanga kadhurumiwa goli na Mamelod makolo wote mlifurahia tena mkisema kabisa goli ni halali ila bora Yanga adhurumiwe hili wasitutambie.

Yanga katoka makundi mwaka huu mmeshangilia sana na mpaka sasa mnashangilia.

Halafu leo unataka uzalendo!

Uzalendo huo hapana.

Ukiutaka anza wewe kuwa mfano kwa kuuonesha.
Kiuhalisia yanga ndio mlioanzisha huu uhasama na uadui simba wanafuatisha tu kumbuka kwa karne hii simba imeanza muda mrefu kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa kuliko yanga, na kila msimu walipokuwa wanaishia robo fainali mlikuwa mnafurahia hadi mkawaita kina mwakarobo sasa mlitegemea nao wafurahie ushindi wenu kwenye ile fainali, kwahiyo kama ni uzalendo yanga ndio mlio takiwa muanze kuuonesha toka miaka ile simba wanaishia robo najua simba hawana shida ila yanga ndio mna ile mentality ya tukose wote
 
Tunaweza fungwa tena, au tukadroo au tukashinda kwa margin ya kufa kiume badala ya kubeba kombe. Hili likitokea tutakuwa wapole, tutazikubali kebehi, dharau na kelele zote, msimu utakwisha na tutajiandaa kwa msimu ujao.

Kinyume na hapo kitakachotokea ni kuwakumbusha kuwa Simba imeshawahi pewa tuzo ya mashabiki bora.
Mkuu hata tukikosa hili kombe bado hatuna sababu ya kuwa wapole wala kukubali kejeli maana tumefyeka kichaka chao cha medali za caf, na hawatakuwa na chochote cha kutuzidi huko kimataifa maana sisi ndio tumewazidi ranking, acha waendelee kusema simba ni dhaifu mwisho wa siku watatueleza vizuri inakuwaje yanga ikiwa bora inaishia hatua ambazo simba ina uwezo wa kufika ikiwa dhaifu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Huu ujinga wa kutaka kupata huruma za wanayanga ungekua unautaka kweli nyinyi makolo ndio mngetakiwa kuwa mfano wa kuigwa.

Yanga kacheza fainali na USM Alger makolo wote mlikuwa USM Alger na mkashangilia Yanga kukosa ubingwa.

Yanga kadhurumiwa goli na Mamelod makolo wote mlifurahia tena mkisema kabisa goli ni halali ila bora Yanga adhurumiwe hili wasitutambie.

Yanga katoka makundi mwaka huu mmeshangilia sana na mpaka sasa mnashangilia.

Halafu leo unataka uzalendo!

Uzalendo huo hapana.

Ukiutaka anza wewe kuwa mfano kwa kuuonesha.
Mnachoshindwa kuelewa ni kuwa haya mambo ya kuchekana ni ya kufanywa na mashabiki siyo viongozi au wachezaji.

Yanga bado mnafanya mambo ya kizamani sana. Hata hizi mambo za kujirekodi na kupost ni uzamani tu na aina fulani ya ushamba. Mnafanya hizo mambo kwenye droo za CAF mnaishia kuumbuka. Sasa hivi mnafanya hadi kwenye mechi za Simba.

Hivi kuna mtu alitegemea Simba angeshinda Morocco? Mbona kama kufungwa 2-0 ugenini ni matokeo ya kawaida kabisa katika fainali? Sasa mnashangilia nini?
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Jana ilikuwa siku ambayo Azizi Ki aligundua kuwa anacheza kwenye timu yenye baadhi ya watu wasio na upeo wa kutosha kuhusu maana halisi ya mpira – watu wanaoendeshwa zaidi na hisia kuliko uzalendo kwa taifa.

Wakati mechi kati ya RS Berkane ya Morocco na Simba SC ikiendelea, baadhi ya wachezaji wa Yanga pamoja na viongozi wao walikusanyika sehemu moja kuiangalia. Cha kushangaza, walipoona Simba wakifungwa, baadhi yao walianza kushangilia kwa furaha, kana kwamba kilichokuwa kinaendelea hakihusu timu kutoka Tanzania.

Lakini kwa upande mwingine, Azizi Ki alionekana kusikitika sana. Aliumia kuona Simba wakifungwa, si kwa sababu anachezea Simba, bali kwa sababu anajua kwamba mafanikio ya Simba ni mafanikio ya soka la Tanzania kwa ujumla. Wakiwa mabingwa, Tanzania inapata heshima kimataifa – heshima ambayo pia inamhusu yeye kama mchezaji anayewakilisha klabu ya Tanzania.

Simba wakifungwa, ni aibu kwa taifa. Na Azizi Ki anaelewa hilo vizuri. Ndiyo maana alionekana kuumia, tofauti kabisa na wachezaji na viongozi wenzake waliokuwa wakishangilia kipigo cha Simba.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba baadhi yao waliamua hata kupakia video hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii, wakionesha wazi furaha yao kwa kushindwa kwa wawakilishi wenzao wa nchi.

Azizi Ki sasa ameshajua – anacheza na watu ambao si tu hawajui thamani ya mshikamano wa kitaifa, bali pia hawajui kuwa soka ni zaidi ya ushindani wa ndani; ni taswira ya taifa.
Mimi nimefurahi zaidi kuliko hata hao uliowaona kwenye video.
 
Mkuu hata tukikosa hili kombe bado hatuna sababu ya kuwa wapole wala kukubali kejeli maana tumefyeka kichaka chao cha medali za caf, na hawatakuwa na chochote cha kutuzidi huko kimataifa maana sisi ndio tumewazidi ranking, acha waendelee kusema simba ni dhaifu mwisho wa siku watatueleza vizuri inakuwaje yanga ikiwa bora inaishia hatua ambazo simba ina uwezo wa kufika ikiwa dhaifu
Ukweli mtupu huu ndugu zangu.
 
Huu ujinga wa kutaka kupata huruma za wanayanga ungekua unautaka kweli nyinyi makolo ndio mngetakiwa kuwa mfano wa kuigwa.

Yanga kacheza fainali na USM Alger makolo wote mlikuwa USM Alger na mkashangilia Yanga kukosa ubingwa.

Yanga kadhurumiwa goli na Mamelod makolo wote mlifurahia tena mkisema kabisa goli ni halali ila bora Yanga adhurumiwe hili wasitutambie.

Yanga katoka makundi mwaka huu mmeshangilia sana na mpaka sasa mnashangilia.

Halafu leo unataka uzalendo!

Uzalendo huo hapana.

Ukiutaka anza wewe kuwa mfano kwa kuuonesha.
Tena ni bora hapo, palikuwa Bar.

Makolo yalikiwa yanashangilia Yanga kufungwa ,yakiwa makao makuu kabisa ya CLUB

View: https://x.com/Mghoshiwandima/status/1923855556218896567/video/1
 
Back
Top Bottom