Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,504
- 12,176
Ndio, na Mbeya city, Lupaso kwa Mkapa.kabla ya mechi na Yanga.. Simba ana mechi na timu nyingine?
Tarehe 22 vs Mbeya Citykabla ya mechi na Yanga.. Simba ana mechi na timu nyingine?
Sasa upeleke timu uwanjani uchapwe goli 5 au usipeleke timu mwenzio apewe goli 3 kipi bora?Yanga hata ukiwashikia bastola hawawezi kuleta timu uwanjani hiyo july 3!! Wanakuambia ni bora lawama kuliko fedheha!! Ya nini kujipeleka kwenye kipigo??
Lakini bingwa sio?Tarehe 3 Simba atachezea kipigo atake asitake.safari hii sidhani Kama yule aliye waokoa tarehe 8 kwa kulazimisha mchezo uchezwe saa moja Kama atathubutu Tena.
kufumba na kufumbua Mwadui kamganda Uto,baasi July 3 wanatupigia saluti vidumeUto akimpiga mwadui, Simba ampige mbeya, tarehe 3 mnyama akimla chura anatangaza ubingwa hapo hapo
Ilitakiwa tucheze na Yanga tukiwa tumeshachukua ubingwa ila hawa Dole la Kati Fc watupigie gwaride.Uto akimpiga mwadui, Simba ampige mbeya, tarehe 3 mnyama akimla chura anatangaza ubingwa hapo hapo
Baada ya kucheza na Mbeya city ilistahiki Simba icheze mechi ya kiporo kabla ya kukutana na Yanga. Maana Simba itakaa wiki nzima bila kucheza mechi.Tarehe 22 vs Mbeya City
Bodi ya Ligi wana lao jamboBaada ya kucheza na Mbeya city ilistahiki Simba icheze mechi ya kiporo kabla ya kukutana na Yanga. Maana Simba itakaa wiki nzima bila kucheza mechi.
Yanga tushastukia mchezo.Bodi ya Ligi wana lao jambo
kufumba na kufumbua Mwadui kamganda Uto,baasi July 3 wanatupigia saluti vidume
Ilitakiwa tucheze na Yanga tukiwa tumeshachukua ubingwa ila hawa Dole la Kati Fc watupigie gwaride.
Wao wafanye watakavyo ila itapendeza tuende kwenye mechi yetu na wao tumeshatwaa ubingwa ili watupigie gwaride.Yanaweza kujifungisha au kudroo kwa mwadui ili tar 3 tuingie kwenye mechi ya kukamilisha ratiba ya ligi isiyo na ushindani wala faida yoyote. Kila mganga anawaambia ninachoweza kufanya ni kupunguza idadi ya magoli tu