Simba kuchukua ubingwa mbele ya Yanga Julai 3?!

Yanaweza kujifungisha au kudroo kwa mwadui ili tar 3 tuingie kwenye mechi ya kukamilisha ratiba ya ligi isiyo na ushindani wala faida yoyote. Kila mganga anawaambia ninachoweza kufanya ni kupunguza idadi ya magoli tu
Jana walikuwa wanajifungisha sijui ikawaje
 
Raha ya tareh unamfunga utopolo afu unatangazwa ubingwa, ili utopolo siku hiyo wawe na majonzi ya kufungwa na kukosa ubingwa mbele ya mnyama mkali
 
Back
Top Bottom