CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 9,764
- 20,456
Mbona umetutukana sana bro. Una hakika na unalolisema? Una hakika unacho kipimo sahihi pasi na shaka cha kumpima mwenye akili na asiye kuwa na akili. Isije ikawa wewe ndo hauna akili!![]()