Simba kapakatwa pub

well, unanswered question; huyu Simba ni jinsia gani? aliempakata ni Mwanamme, nisaidieni labda sielewi ila na mimi pia nilipita nikacheka sana, well hata kama ni promo mmmhhh
 
HTML:
well, unanswered question; huyu Simba ni jinsia gani? aliempakata ni Mwanamme, nisaidieni labda sielewi ila na mimi pia nilipita nikacheka sana, well hata kama ni promo mmmhhh

Kwani wachezaji wa Simba ni wa kike?
 
Kijitonyama maeneo ya makumbusho barabarani kabisa kuna hii pub mpya imefunguliwa.Nahisi bia za pale zina raha ya ajabu kutokana na jina lake.
Na kapakatwa kweli, tena gizani sasa sijui kama Yanga aliishia kumpaka au alimnanihii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…