Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,987
- 165,462
Kijitonyama maeneo ya makumbusho barabarani kabisa kuna hii pub mpya imefunguliwa.
Nahisi bia za pale zina raha ya ajabu kutokana na jina lake.
MIMI NI MDAU SANA WA PALE..ACTUALLY SIYO MPYA ILA MAMBO YA PROMO TU NDIO YAPO JUU KWA SASA...ILA ENZI ZETU 2 YRS BACK NILIKUWA SIKOSI PALE SUNGURA CHOMA etc !!!
IVUGA, KWELI SIMBA KAPAKATWA
kijitonyama maeneo ya makumbusho barabarani kabisa kuna hii pub mpya imefunguliwa.
Nahisi bia za pale zina raha ya ajabu kutokana na jina lake.
Kijitonyama maeneo ya makumbusho barabarani kabisa kuna hii pub mpya imefunguliwa.
Nahisi bia za pale zina raha ya ajabu kutokana na jina lake.
Duuuh
mmmh uncle!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
wewe sio simba? :smile-big: