Simba jike wakiwa na njaa hawana haya

Simba jike wakiwa na njaa hawana haya

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
408850_10150639017447349_619717348_11559642_1380723693_n.jpg


Kitakachofuata sizitaki mbichi hizi.
 
Yesuuuu na maria!!! gari ikatae sasa kuondoka.
 
loh, na nsione simba live maisha yangu yote, ntawaonaga kwenye tv tu
 
408850_10150639017447349_619717348_11559642_1380723693_n.jpg


Kitakachofuata sizitaki mbichi hizi.

Duh! hapa baada ya kusalimika nitakuja kugundua yaliyotokea kwamba valve ziliishiwa nguvu kuhimili vishindo, na kama sikuwa na nguo za ziada basi tuilioongozana watatakiwa kuwa na uvumilivu, mana sote tutajua source yake.
 
wazungu bwana.....ul never find a black man doing these things
 
Au nyama mdhungu nzuri, wangekuwa blacks hao simba wasingesogea. k
 
hebu na sisi tujalibu kufanya huu utalii

Na kweli maana picha zenye mvuto wa kitalii kwenye hifazi zetu za kitaifa tunaletewa nawahisani badala ya sisi kuziuza hizo. Hata hivyo cha msingi wanazipublish kuwavutia wengi kuja kutalii, kwani za kwetu zingeishia mitaani tu.
 
Mnahofu nini? Simba nao walikuwa wanafanya utalii kwa kuangalia wazungu hao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom