Simba ipo Msimbazi Yanga wapo wapi?

Simba ipo Msimbazi Yanga wapo wapi?

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,470
Simba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.

Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake aliyowahi kusoma dada yangu. Au hii Yanga ni timu ya shule ya sekondari Jangwani halafu hatuambiwi?

Ngoja mchakato wa umiliki ukae sawa, tutaangusha PLAZA moja matata sana pale Kariakoo tukiweka sanamu ya mnyama pale nje.
 
Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake aliyowahi kusoma dada yangu.

Ngoja mchakato wa umiliki ukae sawa, tutaangusha PLAZA moja matata sana pale Kariakoo tukiweka sanamu ya mnyama pale nje.
Comments reserved
 
Nyie endeleeni kupagawa tuu,,ngoja tukutane tuwanyuke tena mrudi nyumbani msimbazi nasi turudi zetu maskani kusikojulikani,,Si unafahamu ya kuwa wale ni Majini mjini hapa na Afrika Kiujumla Kwa soka Bora mnoo
 
Simba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.

Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake aliyowahi kusoma dada yangu. Au hii Yanga ni timu ya shule ya sekondari Jangwani halafu hatuambiwi?

Ngoja mchakato wa umiliki ukae sawa, tutaangusha PLAZA moja matata sana pale Kariakoo tukiweka sanamu ya mnyama pale nje.
No comment wacha tuone
 
Uzi tayari?
 
Back
Top Bottom