SIMBA inashuka daraja kama utani

SIMBA inashuka daraja kama utani

Mpiga ramli, bado unatetea kauli yako? Au ninyi ndio wale wanaojidai kutabiri kwa kufuatana na mwenendo wa wakati huo tu? Ningependa uje hapa utetee hoja yako

Kosa la mganga wao Bagamoyo badala ya kuiona Mtibwa kwa u-fake wake akaiona Simba. Ndiyo maana kila wakjenda Bagamoyo tunawahemea kisogoni tu.
 
Back
Top Bottom