SIMBA inashuka daraja kama utani

SIMBA inashuka daraja kama utani

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
367
Kwa mwenendo wa ligi Simba mwaka huu inaelekea kuaga Ligi Kuu na kucheza ligi Daraja la Kwanza.

Llakini hii inatokea kama utani vile japo ni swala la muda na wengi hawataamini
 
Kwani SIMBA ya ngapi katika msimamo, na mechi zimebaki ngapi ligi kwisha?

Nyie kandambili kama simba inafanya vibaya si ndo mnatakiwa kufurahi,, sasa maneno ya nini! Tuachieni timu yetu tunajua tunapitia kwenye kipindi gani.

Nyie endeleeni kununua mechi mkikutana na wanaume huko nje mnapigwa mnarudi kwenye ligi yetu ya ndondo
 
Kwani SIMBA ya ngapi katika msimamo... na mechi zimebaki ngapi ligi kwisha!!..... Nyie kandambili kama simba inafanya vibaya si ndo mnatakiwa kufurahi,, sasa maneno ya nini..!!! Tuachieni timu yetu tunajua tunapitia kwenye kipindi gani... Nyie endeleeni kununua mechi mkikutana na wanaume huko nje mnapigwa mnarudi kwenye ligi yetu ya ndondo

Hawa yebo yebo badala wafuate yao wanakalia uswahili kufuatilia yasowahusu. Wamekalia ushirikina tu wa uwanjani.
 
Simba ina mafundi wengi lakini haina soldiers

ndo maana timu ikicheza jihad kama mbeya city au Stendi leo inaisumbua Simba

walipaswa kutafuta soldiers pia sio mafundi peke yake
 
Ukitaka kujua ligi mbaya mmoja ashuke kati ya S or Y
 
Siku Simba na Yanga watakaposhuka daraja ndio utakuwa mwisho wa soka Tanzania. Nakuapia lazima TFF watabadilisha kanuni za ligi kwa kuhakikisha wawili hao lazima wanabaki kwenye ligi. Unabisha?
 
Hawa yebo yebo badala wafuate yao wanakalia uswahili kufuatilia yasowahusu. Wamekalia ushirikina tu wa uwanjani.
unamaanisha ushirikina ule ambao simba alikuwa anaroga morogoro wakamkamata na leo tena kambarage amejaribu kuroga wakakwida,,,..nyie kweli nimambumbumbu hamna kitu, rage aliwajulia
 
wachawi wakubwa nyie mikia fc,,,mpira unachezwa uwanjani, hauchezwi midomoni wala kwenye magazeti huku mkitegemea uchawi kuwaloga timu pinzani
 
Kuna jamaa yangu anashabikia Simba na Man U, Leo yuko frustrated anatafuta maviroba yanaitwa Double Punch apoze machungu.

Simba kushuka not good kwa soka la bongo tuiombee
 
Dah kwaraha zetu nasikia jamaa kadraw uwiii
 
aaaaaa poa leo kwangu kesho yanga bwana !hii ndo bongo na michezo yake!.
 
Oohh. Sioooo haaoooo haoooo mbonaaaa mwakawaooooo huuu
Draw kwake kashindaaaa!!!kufungwa dawayamswaki kwwaoo!!nasemea azam
 
Back
Top Bottom