Simba inaendeshwa kwa akili kubwa

Simba inaendeshwa kwa akili kubwa

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
7,376
Reaction score
16,538
Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.

Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.

Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.

Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
 
Mngekua na akili msingefungwa kila siku
 
Simba inastahili pongezi maana kupigwa mara ya tano mfululizo ingekuwa hatari sana.
 
Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.

Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.

Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.

Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
Hata waliolazwa Milembe kwa sababu ya changamoto ya akili, wanadhani sisi ndo hatuna akili.
 
Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.

Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.

Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.

Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
Wasingekimbia mechi
 
mbumbumbu kujiona ana akili ni kukosa akili pia
 
Cha Ajabu,hawana Imani na bodi ya ligi ila wameiandikia bodi ya ligi kudai point 3.

Mpaka sasa wameandika barua mbili zote hazijajibiwa,kabla ya kujibiwa wameenda CAS.
 
Ni kweli viongozi wa Simba wana akili sana, mimi hilo nakubali

Wewe fikiria wangefungwa mara tano mfulilizo wangeweka wapi sura zao
 
Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.

Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.

Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.

Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
Simba inaendeshwa na Karia na Kidau hakuna cha akili kubwa pale sahidi Rage
 
Back
Top Bottom