Simba inaelekea kuwa kama Liverpool

Simba inaelekea kuwa kama Liverpool

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
..watabaki kujivunia mafanikio ya mababu zao tu.Embu sikilizeni wimbo wa LADY JAYDEE unaitwa HISTORIA mtanielewa vizuri.
 
Mashabk wa simba mnashauliwa mhamie azam,kama walivohamaga wa liver kwenda arsenal (azam) ili kupambana man u (yanga)
 
Umekosea kuifananisha SIMBA na LIVERPOOL, labda simba ungeifananisha na CARDIF CITY......
 
hapana bw. Mkolaj kwani cardif city iliwahi kuwa timu kubwa?
 
Mkapa na kikwete Jana walikua wanaidiscuss livafools ,eti hadi wote wanamaliza vipindi vyao vya urais bado hawajatwaa ndoo
 
Nani alikuwa bingwa wa Uefa Champions League 2004 na wakati huo nani alikuwa Rais wa Tanzania?
 
..watabaki kujivunia mafanikio ya mababu zao tu.Embu sikilizeni wimbo wa LADY JAYDEE unaitwa HISTORIA mtanielewa vizuri.
historia yenyewe ndo hii hapa
 
Last edited by a moderator:
hapana bw. Mkolaj kwani cardif city iliwahi kuwa timu kubwa?
Yaaaah, kwa pale England cardif city ni miongoni mwa timu kubwa sana na zenye historia katika soka la nchi ya uingereza,,, hebu fuatilia vizur unaweza kukubaliana nami.
 
mkuu cardiff haijawah kua timu kubwa england,walichukua f.a almost miaka 90 iliyopita and they are stil holding to that until now.

labda ungesema nottingham forest ngekuelewa.
 
Mkapa na kikwete Jana walikua wanaidiscuss livafools ,eti hadi wote wanamaliza vipindi vyao vya urais bado hawajatwaa ndoo

Mkuu naona umewachoka kabisa watu wa bwawa la maini. Sasa limekuwa bwana alimodumbukia Samuel Six!
 
Ni kweli, hata leo ukiwauliza vipi mbona sare nyingi?.. watakwambia "sisi ndo madume tuliifunga yanga goli 5-0"
 
yes nyie ni madume kweli mmelewa ushindi mpaka mnashindwa kutembea kila timu inawapita,lakini yanga kafungwa 5 lakini kasimama na kukimbia na atawakimbia mpaka nyie mbakiwe na wachezaji 5.

Back
Top Bottom