Simba imetia aibu

Simba imetia aibu

mtu wa system

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2025
Posts
376
Reaction score
588
Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama kinachounda serikali
 
Simba hawana utopolo wa hvyo
IMG-20250729-WA0116.jpg
 
Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama kinachounda serikali
Soka na Siasa haviambatani, tukipigwa ban tutaanza kuwasifia Viongozi wa simba
 
Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama kinachounda serikali
Kwani Mama aliwapa kama Rais ama Mwenyekiti wa CCM?!
 
Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama kinachounda serikali
mnatafuta justification "kuwa mlichofanya ni bora pia chakuigwa"

PROPAGANDAZ FC🤣
 
Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama kinachounda serikali
Huna akili. What a wasted sperm.
 
Fifa inakataza,serikali na taasisi zake kuingilia maamuzi na matokeo uwanjani,kuingilia uongozi wa mpira na management ya makocha na wachezaji.
 
Nyie uto kubalini mmebugi kuweka nembo ya club kwny hizo hela....acheni justfication...hata kama ametoa mtu mfukoni haikupaswa kuwekwa nembo ya club
 
Yanga au Simba, kuna timu ya wananchi na timu ya CCM.
Simba au Yanga, kuna timu 96% ya wapenzi au mashabiki wake ni makada wa CCM.
 
Back
Top Bottom