DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
- Thread starter
- #41
Muda utakufundisha kuwa wewe ni mmoja wa waathirika wa propaganda za viongozi wakoNchi hii kila mpuuzi anajua mpira
Muda utakufundisha kuwa wewe ni mmoja wa waathirika wa propaganda za viongozi wakoNchi hii kila mpuuzi anajua mpira
Unaweza kugonga cheers na watu lakini ukabaki kuheshimu na kufuata maadili ya kazi yako. Ni tofauti na tunachoongea hapa. Kwenye ground huko kunatisha.Nyinyi mnajua ni wapuuzi sana...
Hawa nje ya kamera ni watu wanaongea na kucheka na kugonga cheers wanalewa hata pamoja ...shida Iko kwako na wandengereko wenzio wenye presha...
Tafuta hela ...
😃😄😃😄😂😂🤣 Ameumia picha ya mumewe kuchanwa.
Siku hizi mashabiki wa Simba mmekuwa kama wa Yanga tu, mnadanganyika na kuchezewa akili zenu. Vingozi wenu hawawaheshimu.
Mbumbumbu ni watanzania wote ukiwepo weweNdio Simba sasa hao wanaletewa manzoki ukumbini kwenye kampen badala ya kuletewa uwanjan
Mbumbumbu ni watanzania wote walioridhia kutawaliwa na wahuni wa CCM milele...Mbumbumbu ni wale walioletewa Manzoki kwenye mkutano mkuu, wakafurahi na kumpa kura za ndiyo Mangungu