Simba imejipiga shoti kwa Jonathan Sowah na itawagharimu

"Sowah amesema Hersi alimfanyia jambo kubwa ila hajawahi kulitaja hilo jambo. Sowah kuja Simba ni kwa sababu Hersi amempa baraka za kufanya hivyo, tusisahau hilo."

Mkuu unaelewa maana ya professional footballer?
Yaani unayoyashuhudia katika mpira wa Tanzania bado una ujasiri wa kutumia neno "professional"?
 
umeshudia ni jinsi gan wana Simba mlivyo mambumbumbu
Mbumbumbu ni wale wanaohongwa kofia na maza...

Imagine ccm haijawahi kuwapa maendeleo ya maana ila utashangaa mbumbumbu wakiwapigia kura ya ndiyo wahuni
 
Ndio Simba sasa hao wanaletewa manzoki ukumbini kwenye kampen badala ya kuletewa uwanjan
 
Hii timu imeenda kucheza derby kwa kuwaficha na kuwalaghai mashabiki wake maana ilikuwa inajua kipigo kiko pale pale.

Hii timu imetengeneza drama za Feisal na kutuma watu wasambaze tetesi za kumalizana naye kumbe hata ofa haijapeleka.

Wahuni wametengeneza mazingira kuonyesha Zimbwe ameachwa, wakaleta figisu za kupata mabeki wapya kumbe wanataka kutengeneza mazingira ya kupiga pesa za usajili. Utakuja kusikia Zimbwe karudishwa na kapewa milioni 700.

Hili la Sowah, wanatuaminisha eti hakuna uhusiano wowote wa Sowah na Hersi kwa kutengeneza mapichapicha. Simba imeshindwa kuwachukua kina Job na Max pamoja na kupeleka ofa kubwa zaidi ya wanayopewa na Yanga. Hilo linakwambia nini?

Inasikitisha sana.
 
Zimbwe ashamalizana na Yanga
Mkataba ashasain miaka 2
Hilo la Zimbwe kurejeshwa umbumbumbuni sahau
 
Nyinyi mnajua ni wapuuzi sana...
Hawa nje ya kamera ni watu wanaongea na kucheka na kugonga cheers wanalewa hata pamoja ...shida Iko kwako na wandengereko wenzio wenye presha...
Tafuta hela ...
 
Back
Top Bottom