Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
😁😁😁Nguvu ya kutamba tena this iz.......
tutaipatia wapi ngoja tuendelee kusuburi
Sitashangaa hata maghuli ama kitenge akitua
😁😁😁Nguvu ya kutamba tena this iz.......
tutaipatia wapi ngoja tuendelee kusuburi
Sitashangaa hata maghuli ama kitenge akitua
Ooh. Usijali Best.Nilikuwa nimebananishwa ofisin ile mbaya best
Hakika haya nimaajabu ....... Noma sana
Ooh. Usijali Best.
Hahaaa. Wanalo.
Mi nashangaa tunakwama vipi kumchukua bwalya mpaka tunaanza angaika na vya bure.
Bwalya sio mchezaji wa kucheza simba.
BWALYA ANATUKUZWA NA TIMU YAKE, NA KATIKA HUU UKANDA KWA SASA SIMBA WANAONEKANA KUWA NA PESA NA WANA KIU YA MAFANIKIO HAPO NDIPO BWALYA ANAPOPANDISHWA THAMANI.
SIMBA INATAKIWA KUJENGWA KWA WACHEZAJI WA GHARAMA NDOGO WENYE KIU YA MAFANIKIO NASIO MA PROO. ANGALIA MIAKA 2 YA SIMBA NA MAPRO WAKE HAKUNA TAJI LA MAANA ZAIDI YA UBINGWA WA LIGI DESPITE THE FACT SIO HATUA MBAYA BUT INA COST RESOURCE ZA TIMU. TIMU INATUMIA ZAIDI YA MILIONI 100 KWA AJILI YA MSHAHARA KWA MWEZI ALAFU WACHEZAJI WAPO UNDE PERFROMANCE SASA WA NINI HAO?
TETESI MSIMU HUU WANAKATWA MA PRO 7, IT IS GOOD IDEA HAWANA MANUFAA. NI NORA UBAKI NA RASHIDI JUMA, NDEMLA, MKUDE, MLIPILI, BUKABA, SHABALALA, KAGERE, BOCCO, DILUNGA, CHAMA, KULIKO, GYAN, HARUNA, OKWI. NA WENGIEO VIMEO VIMEO
Ndio shida ya watanzania hii..... Mnalalamika bila kujua kwamba 80% ya mechi aliingia kama sub....Nimefuatila huyu straiker was South Africa anaeletwa na Simba kiukweli takwimu zake haziridhishi japokuwa Ni kinda want miaka 22
Huyu anaitwa Ryan Moon Ni straiker Kaizer Chiefs msimu uliopita ambapo Kaizer chips walikuwa na msimu mbaya zaidi kwenye historia ya Ligi ya South Africa alicheza mechi 13 hakufanikiwa kufunga Wala ku assist
Huyu kijana ana goli 5 tu timu zote alizipitia na tangu aanze soka la ushindani.
Ni free Agent na ametangaza kuondoka South Africa , huyu dogo hawezi kuisaidia Simba sio ndani Wala nje
View attachment 1131608View attachment 1131609View attachment 1131610
Hao ma-pro 7 wanakatwa na nafasi zao zinachukuliwa na ma-pro wapya au ndio wanakata ma-pro 7 ili kupunguza idadi yao? Maana hadi sasa wameshasajili ma-pro sio chini ya wawili kama sijakosea na bado usajili unaendelea.
Ahsante sana aiseeNdio shida ya watanzania hii..... Mnalalamika bila kujua kwamba 80% ya mechi aliingia kama sub....
Oliver giruoud hakua na goli wala short on target world cup nzima ila kwanni alikua hakosi mechi?? Kwahyo sio wakati wote mshambuliaji hupimwa kwa magoli bali hta kujituma.... Kuchachafya mabeki au kuvunja ukuta ili timu ipenye rejea diego costa hana magoli kabisa ila ni tegemeo Atletico madrid.
3. Mchezaji kijana hununuliwa kwa kuangalia potential sio takwimu..... Unaangalia wapi anaweza kupewa mafunzo akakua zaidi!! Morata alikua hana uwezo mkubwa Chelsea ila Atletico ilimnunua kwa kuangalia potential yake kwamba anaweza kukua kiuwezo kwa kiasi gani?? Na wote mmeona alivyobadilika ndani ya mfupi sana.
Kwahyo wachangiaji mnakosea kulaumu kijana mdogo mwenye mechi 27 tu kwa kuangalia takwimu zake changa..... Angalieni potential maana bado hajafika mwisho wa kiwango kma kina bocco au Ngassa!!
Kumbe MO na Yeye ni tapeli aliyeshindikana kama matapeli wa Yombo Buza.