Simba huyu straika Msouth asipewe mkataba

Huyo bwalya viongozi wake wanataka hela sawa na waliochangishana yanga kwenye kubwa kuliko.
yaani hyo hela yanga wameipata kwa tabu kweli kweli.
Leo waje kupewa kirahisi kisa bwalya.
Unadhani yanga watajisikiaje?
hahaha we jamaa wewe
umenifanya nicheke peke angu usiku huu
 
Mimi yangu macho, hizi timu za kariakoo dah ni pasua kichwa kwakweli, yaani ni tatizo kubwa, yaani kila mtu mpiga dili, janjajanja nyingi hadi kero!! Yaani basi tu !! Mimj naona hata siwaelewi.. Mara fraga sijui mara moon sijui khaa mwishowe tutasikia sun na nyota
 
Screenshot_2019-06-19-19-36-38~2.png

Shabiki wa Yanga akiwa anaizungumzia Simba huwa hatumii akili. Huyo mtu aoiyepost hiyo picha kwenye page za Simba kawaweza kweli.
 
Nimefuatila huyu straiker was South Africa an8aeletwa na Simba kiukweli takwimu zake haziridhishi japokuwa Ni kinda want miaka 22
Huyu anaitwa Ryan Moon Ni straiker Kaizer Chiefs msimu uliopita ambapo Kaizer chips walikuwa na msimu mbaya zaidi kwenye historia ya Ligi ya South Africa alicheza mechi 13 hakufanikiwa kufunga Wala ku assist
Huyu kijana ana goli 5 tu timu zote alizipitia na tangu aanze soka la ushindani.
Ni free Agent na ametangaza kuondoka South Africa , huyu dogo hawezi kuisaidia Simba sio ndani Wala nje
View attachment 1131608View attachment 1131609View attachment 1131610
sio huyo bhana huyo iyetambulishwa simba anachezea ATM ya India anaitwa GERSON VIEIRA
 
Back
Top Bottom