Kaka sheria imechukua mkondo wake na sio wameharibiwa,simba ilikuwa na haki ya kufungwa kwanza wamekusanyana ndani ya wiki moja,pili key player wameuzwa,ligi ilipoisha na kambi ilivunjwa,nne wydad kule kwao ligi haijaisha so wapo pmj kwa muda mrefu kuliko simba,tano ligi yenye timu 12 sio bora sana kulinganisha na za wenzetu,all in all tanzania hatujanipanga kulingana na wenzetu kiwango cha soka tanzania 120 na morocco ni 32 ni mara nne zaidi yetu