Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,061
Simba haikugomea kucheza ila walisema hatua zichukuliwe dhidi ya walichofanyiwa la sivyo wasingeshirika kwenye mechi husika.Kanuni ipi inasema ukinyimwa kufanya mazoezi ya mwisho ugomee kucheza?
"Kufiatia ukiukwaji huo wa taratibu za mchezo, Simba haitoshiriki mchezo husika na haki zote zimehifadhiwa"Nimeona nijaribu kulijadili hili swala kimantiki bila ya kuleta ushabiki wa kitimu.
Kwanza kabisa watu wengi wanajadili Wala hawajui jinsi bodi ya ligi inavyoundwa na yenyewe inavyoendesha ligi na bodi yenyewe inavyoendeshwa.
Bila ya kujua bodi ya ligi inaendeshaje ligi na yenyewe inaendeshwaje mwisho wa siku itaishia kutoa lawama kwa wasiohusika.
Bodi ya ligi ndiyo inayoendesha ligi, sioni watu wakijadili kanuni zinazobishaniwa hutungwaje na hutumikaje na kama timu hairidhiki na jambo lolote kwenye msimu husika hutakiwa ifanye nini.
Simba ilifika uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi yake na Yanga siku inayofuatia. Lakini yakatokea yaliyotokea ambayo kila mtu anayajua.
Simba ikaandika barua Kwa bodi ya ligi kutoa malalamiko ya walichofanyiwa na kusema kuwa kama bodi ya ligi haitachukua hatua basi wenyewe hawatahusika na mechi hiyo.
Bodi ya ligi hatua yao ingekuwa kuamuru mechi ichezwe bila ya mashabiki tatizo lingekuwa wapi?
Lakini kwa maelezo ya bodi walipokutana wakajikuta hawana vielelezo na taarifa za kutosha kufanya maamuzi hivyo kuamua kuahirisha mechi.
Sasa wanaosema kuwa Simba iligomea mechi yake na Yanga hoja yao wanaijenga Juu ya msingi upi?
Maana ili Simba iwe imegomea mechi ni Lazima kwanza bodi ya ligi iseme mechi itakuwepo halafu Simba isifike uwanjani.
Bodi ya ligi Kwa taarifa rasmi walisema hakuna mechi, Sasa Simba ingepeleka timu uwanjani kucheza mechi gani wakati wenye dhamana ya kuendesha ligi walisema kuwa mechi husika imeahirishwa?
Ili isemwe kuwa Simba iligomea mechi ni Lazima kwanza hiyo mechi ingekuwa haijaahirishwa na bodi ya ligi.
Kanuni ipi inasema mlete mabaunsa wao ndo waruhusu wachezaji waingie au wasiingie uwanjani...Kanuni ipi inasema ukinyimwa kufanya mazoezi ya mwisho ugomee kucheza?
" Haki zote zimehifadhiwa" hapo wewe umeelewaje?"Kufiatia ukiukwaji huo wa taratibu za mchezo, Simba haitoshiriki mchezo husika na haki zote zimehifadhiwa"
mwisho wa kunukuu
Watu wenye akili Yanga hawaligusi kabisa kwa sbb wanajua Simba haina makosa...pambaneni na bodi ya ligi wawape vifungu...haiwezekeni vi watu vije vilete fujo vifumbiwe macho...wao kama nani...Wale watu wa Simba wanao ujua mpira wa miguu ilo swala hawaligusi kabisa na ili uliguse inabidi ukubali kuvunja heshma yako lakini ukiwa na akili timamu haligusiki.
Unaweza kukubali kuvunja heshma ikiwa una njaa kama wachambuzi uchwara ambao kwa shilingi za kitanzania elfu kumi walikubali kudhalilika.
kwan nan aligomea mchezo tar 8? Mana mechi iliahirishwa masaa 5 kable ya muda wa mechi. Ungeuliza kanuni ipi ilitumika kuahrisha mechi nadhani pia hili bodi wamefanya citation ya section and subsections ya kanuni. Au ungeuliza kama ni sahihi simba ku publish tangazo kuwa tabia ilofanywa isipochukuliwa hatua wao hawatashiriki mchezo.labda kama kosa lipo simba kwenye kuwaambia umma nd tujuzaneKanuni ipi inasema ukinyimwa kufanya mazoezi ya mwisho ugomee kucheza?
Kanuni ipi inasema mlete mabaunsa wao ndo waruhusu wachezaji waingie au wasiingie uwanjani...
Hio barua ulisoma peke yako?Simba haikugomea kucheza ila walisema hatua zichukuliwe dhidi ya walichofanyiwa la sivyo wasingeshirika kwenye mechi husika.
Bodi ya ligi ikaahirisha mechi. Simba hapo inahusikaje?
ahly hakwenda uwanjani wew nd mana zamalek akapewa alama 3 acha kupotosha umma. Simba hakugomea mchezo bali hawezi kwenda uwanjan wakat mechi haikuwepo"Kufiatia ukiukwaji huo wa taratibu za mchezo, Simba haitoshiriki mchezo husika na haki zote zimehifadhiwa"
mwisho wa kunukuu
Halafu mtu anasema Simba haikugomea mchezo. Simba iligomea mchezo kisha bodi ya ligi ikabariki kitendo cha Simba kugomea mechi kwa kuufuta mchezo husika.
Kule Misri Al Ahly kagomea mchezo ila kutokana na mamlaka inayosimamia ligi yao kuwa smart hatukuona mambo ya kuitana na kukaa vikao vya kujadiliana juu ya mgomaji bali wameacha taratibu ziendelee kisha kanuni ndio itaamua kwa kutoa haki stahiki.View attachment 3274296
Kasome barua ya Simba kwanza ndio urudi hapa,,kitendo cha Simba kuandika kwamba awapeleki timu uwanjani automatically waligomea mechi,,kwanini walitoa statement ya kutopeleka timu uwanjani kabla ya bodi kutoa maamuzi? Ina maana waligomea mechi kabla ya bodi kuahirisha kwaiyo waliwaelekeza bodi cha kufanya!Nimeona nijaribu kulijadili hili swala kimantiki bila ya kuleta ushabiki wa kitimu.
Kwanza kabisa watu wengi wanajadili Wala hawajui jinsi bodi ya ligi inavyoundwa na yenyewe inavyoendesha ligi na bodi yenyewe inavyoendeshwa.
Bila ya kujua bodi ya ligi inaendeshaje ligi na yenyewe inaendeshwaje mwisho wa siku itaishia kutoa lawama kwa wasiohusika.
Bodi ya ligi ndiyo inayoendesha ligi, sioni watu wakijadili kanuni zinazobishaniwa hutungwaje na hutumikaje na kama timu hairidhiki na jambo lolote kwenye msimu husika hutakiwa ifanye nini.
Simba ilifika uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi yake na Yanga siku inayofuatia. Lakini yakatokea yaliyotokea ambayo kila mtu anayajua.
Simba ikaandika barua Kwa bodi ya ligi kutoa malalamiko ya walichofanyiwa na kusema kuwa kama bodi ya ligi haitachukua hatua basi wenyewe hawatahusika na mechi hiyo.
Bodi ya ligi hatua yao ingekuwa kuamuru mechi ichezwe bila ya mashabiki tatizo lingekuwa wapi?
Lakini kwa maelezo ya bodi walipokutana wakajikuta hawana vielelezo na taarifa za kutosha kufanya maamuzi hivyo kuamua kuahirisha mechi.
Sasa wanaosema kuwa Simba iligomea mechi yake na Yanga hoja yao wanaijenga Juu ya msingi upi?
Maana ili Simba iwe imegomea mechi ni Lazima kwanza bodi ya ligi iseme mechi itakuwepo halafu Simba isifike uwanjani.
Bodi ya ligi Kwa taarifa rasmi walisema hakuna mechi, Sasa Simba ingepeleka timu uwanjani kucheza mechi gani wakati wenye dhamana ya kuendesha ligi walisema kuwa mechi husika imeahirishwa?
Ili isemwe kuwa Simba iligomea mechi ni Lazima kwanza hiyo mechi ingekuwa haijaahirishwa na bodi ya ligi.
No kweli hatuna akili ndio maana kila tukicheza tunawagongaYang wenye akili wawili, sasa mtu kama hans nae anataka yanga ipewe points 3,wakati anajua kabisa Taratibu za kupata points 3 huku si kujitoa akili. Kama kuna watu wapo tofauti na matumizi ya ubongo basi ni Yanga, haya majitu hayajielewi kabisa
Hoja hapa si barua bali ni nani aliahirisha mechi. Mechi iliahirishwa na bodi ya ligi Sasa unawezaje kusema Simba iligomea mechi wakati mechi haikuwepo?Hio barua ulisoma peke yako?
Sasa fanyeni hivi chezeni na timu mnazo penda CEO wenu alisema hamtacheza mechi nmeshangaa juzi mmechezaahly hakwenda uwanjani wew nd mana zamalek akapewa alama 3 acha kupotosha umma. Simba hakugomea mchezo bali hawezi kwenda uwanjan wakat mechi haikuwepo
Mabaunsa wanauwezo wa kuzuia police wasifanye kazi?Kanuni ipi inasema mlete mabaunsa wao ndo waruhusu wachezaji waingie au wasiingie uwanjani...
Ile barua ya Simba ilisemaje kuhusu mchezo?Hoja hapa si barua bali ni nani aliahirisha mechi. Mechi iliahirishwa na bodi ya ligi Sasa unawezaje kusema Simba iligomea mechi wakati mechi haikuwepo?