OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,246
- 103,952
Mabingwa wa watarajiwa wa CAF Championship leo wanahitimisha Simba Day,This is Next Level.
Shamrashamra zimeendelea mitaa yote ya Dar na mikoani kuelekea jioni ya leo kushuhudia kandanda saaafi.
Jiunge nasi hapa JF kupata updates za mchakato mzima wa Simba Day,This is Next Level
FT: Champion Simba 3- Dynamo 1
Magoli yote Meddie Kagere MK14