Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Yanakuja saa ngapi. Nyie ndio mlikuwa mnawaka oooh. eti uwanja tuliujaza jioni.

Haya nyie mnaojaza asubuhi picha ziko wapi? Tupieni picha tuone mana yaenda saa saba.
Uko Makini Na Simba Sport Club Usijal Utazipata Picha Endelea Kutufatilia
 
Wacheni Woga tumeni picha tuone.

Ujue ni mwaka wa 10 huu sasa mnaogopa nini mpaka mtupe picha jua la kuchwa. zitumeni muda huu ili si tulio Nanjilinji tuwe tunajua nini kinaendelea huko DSM.
Mda wa chakula mama nenda kale kwanza
 
Simu yangu imepasuka kioo kwa juu hivyo nimeshindwa kuona kilichoandikwa.
Lakini kwa kusoma comment ya mwisho huku chini, nami naungana na familia kuwapongeza maharusi.
Niwatakie ndoa njema na ya baraka tele.
Tumekuelewa wachache,, kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom