Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Simba tutashika nafasi ya sita msimu huu naumia sanaNawaona mwaka huu wakienda Tena kukosa ubingwa wanetu wa msimbazi😀😀😀
Pole kakaSimba tutashika nafasi ya sita msimu huu naumia sana
Ila jezi mnanunua sana tu ,mlitakiwa muwafunze mabosi wenu kwa kususia jezzyI salute you kinsmen
Kiukweli sisi mashabiki wa Simba tunaumia sana na team yetu.
Licha ya fadlu kutukimbia bado tunazidi kuumia na performance yetu mbovu kwa hawa matapeli wawili Morocco na mwenzie matola.
Kiufupi kadri upepo unavyovuma ndio nyeti za ndege zinaonekana haina haja ya kuficha tena
Fountain gate sote tunajua hali yao, wakifungwa kabla hata ya kuingia uwanjanj ,
Ila simba yangu imecheza papatu papatu sakalanya magimbo na kushinda tatu tu!
Wakati nilitegemea tushinde hata 6! Maana ni sawa na kucheza na kilema wa mguu! Yaani simba mmetutia aibu sana.
Huyo maema mbona tumetapeliwa mapema sana? Mrudisheni kwao huko.
Hata huyu sowah bado sana kiwango ameonyesha kidogo sana hairidhishi.
Mwisho kabisa naona wqzi jumapili tukienda kutolewa na wabotswana wale.
Kwa mtindo huu ni bora kushabikia mlandege ya zenji
Huwa nafurahi sana gongowazi wanapoweweseka.Na mtindo wao wa kujifanya wanasimba.Huu mtindo unadhihirisha kwamba hawajiamini.Ni nadra sana wapenzi wa Simba kuanzisha mada inayowahusu gongowazi lakini wao kila mara wanafanya hivyo.Simba tutashika nafasi ya sita msimu huu naumia sana
Mimi nj mwanasimba kindakindaki nadhani I'd zinafanana tuHuwa nafurahi sana gongowazi wanapoweweseka.Na mtindo wao wa kujifanya wanasimba.Huu mtindo unadhihirisha kwamba hawajiamini.Ni nadra sana wapenzi wa Simba kuanzisha mada inayowahusu gongowazi lakini wao kila mara wanafanya hivyo.
Kwenye wiki yao waliitaja Simba mara nyingi zaidi kuliko hata timu yao.
Sifanyi upuuzi huo wa kununua jezi mbayaIla jezi mnanunua sana tu ,mlitakiwa muwafunze mabosi wenu kwa kususia jezzy
USSR
Kivipi mwanasimba mwenzanguNenda ww ukacheze kikubwa
Hapana mkuu kwa kweli hakuna matumaini ya kombe hapa naona wazi tunaanza upyaMwaka huu mbona ubingwa tunao ni mapema mno kuanza kuipa presha timu wacha viongozi wafanye kazii
Lakini ndani ya uwanja hatuna tofauti na mbwinde fc ya kwetu matondo
Muda si mrefu utawasikia "Moroco atuachie timu yetu", Matola naye atupishe", Mara "tunamtaka Juma Mgunda"Lakini ndani ya uwanja hatuna tofauti na mbwinde fc ya kwetu matondo
Muda si mrefu utawasikia "Moroco atuachie timu yetu", Matola naye atupishe", Mara "tunamtaka Juma Mgunda"Lakini ndani ya uwanja hatuna tofauti na mbwinde fc ya kwetu matondo
watajujua😒🦁🦁🐒🐒