Mi ni Makolokolo mwenzio lakini punguza roho mbaya Ndugu yangu62-2
Weka ubashiri wako, unaona kabisa Mnyama akifa ngapi huko Morocco?
mshaanzaHazipungui SITA mzeeWeka ubashiri wako, unaona kabisa Mnyama akifa ngapi huko Morocco?
Makolo anashinda 3-1Weka ubashiri wako, unaona kabisa Mnyama akifa ngapi huko Morocco?
Weka ubashiri wako, unaona kabisa Mnyama akifa ngapi huko Morocco?
FC ndiyo zenu hiziMtu kaenda kupokea demu wake stand.Hii mechi ni kama ya kirafiki ingawa kila timu itajaribu kutafuta ushindi. Simba wamepokelewa na basi la timu ya Raja walipofika airport kwenda hotelini, hilo linapaswa likwambie kitu.