Simba akila majani kazidiwa si asili yake

Simba akila majani kazidiwa si asili yake

Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaam ukipenda boooooooooooooooooo.....ga penda na ua lake wahenga walishapata kunena hilo.
 
unazomhonga na yeye anahonga pia so ongeza budget tu dada mwenzio anamajukumu pia upande wa pili. Aliyeuza cheni....... Aliyetoa hela .... Waau.

Uwiii nitaua mtu, bora nikimbie naogopa murder case mie
 
Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaam ukipenda boooooooooooooooooo.....ga penda na ua lake wahenga walishapata kunena hilo.

MMMh!!! haumezeki bana, nabwaga manyanga
 
Yuko fit kabisa, tatizo ni pale tunamaliza naanza kudaiwa nauli, mara matumizi, mara oooooooo aaaaa gh! inanikera[

khaaa! ana wazimu huyo yani anakudai tu hela ka vile we ni babake?!! hata soni hana...tupa kule huyo hata akipata kazi ataendelea kukupiga mizinga as mazoea hujenga tabia...au anza kumnyima/mwambie huna achakalike lol
 
Back
Top Bottom