Simba akila majani kazidiwa si asili yake

Simba akila majani kazidiwa si asili yake

Mfungulie biashara kama unajimudu uone kama atakuwa tegemezi kwako. Pesa zinatafutwa na kupatikana dada, lakini penzi la kweli kulipata shughuli na unaweza ulipate halafu kidume kikawa hakijimudu ktk 6x6.

Sasa kama wako anakutawanya vipande vipande halafu anakuunga tena usimuache, utakuja juta atakapochukuliwa na mwanamke mwenzako anayejua kutunza siku watakupita kwenye PRADO kwa raha zao.


Du! biashara tena??! hapana; siwezi mfungulia maana kidume kinastahili kutafuta sio kutafutiwa. nikifikiria hapo kwenye blue, kiroho kinadunda nabaki njia panda.
 
mapepo ya ngono haya jamani...mnatuvuruga tume concentrate na katiba mpya jamani


kwenye hiyo katiba waambie wasisahau kusisitiza vidume vijitegemee visiwaze kulelewa.
 
Acha mbwembwe wewe umeshajichanganya na ukaangukia kwenye hilo penzi wewe tulia uendelee kuhudumia na kupewa maraha ya dunia. Hapo mnachangia huduma. Yeye anakugegeda na wewe unamlisha ili apate nguvu. Ala!....wewe unafikiri lile zoezi ni la mchezo? TULIZANA. MPO WANGAPI?


Kama ni huduma ya kufanyana wote tunaitoa, nakereka kuhonga DUME.
 
kwani wakati mnaanza uhusiano alikuwa na job o?
...na km alikuwa nayo ameachishwa?yaani,ungetuambia situation ikoje....
au labda ndo anatafuta kazi umechoka kusubiri!!?tuweke wazi MAJOTO


Nilimuona mwanamume nikampenda, akanipenda tukaanza mapenzi. Hakuwa na kazi; sikujali niliangalia mapenzi kwa kuwa mimi ninajimudu hivyo sikufikiria kupata chochote kutoka kwake. Tatizo linakuja yeye anahitaji toka kwangu, sasa hapo ndio najiuliza iweje mwanamke mimi nilee Dume zimaaaa kisa mapenzi?!!!
 
Hii Kali! Lakini kama account inakubali why not? Ila ili kujua kama anakupenda kweli mjaribu kwa kutompa hela mwezi Mzima! Alaf jifanye kulialia kama mambo yamekua magumu!
Kama he is not after money atavumilia na kukuliwaza kwamba uckate tamaa na mtaendelea kawa pamoja.
Kama tapeli atakula kona mbaya! Itakusaidia sasa kufanya maamuzi magumu hapo.
Usimuache mjaribu kwanza unaeza kupoteza kitu chema bila kujua


Asante, nitafanya hili jaribio soon.....
 
Ninavyofahamu mimi, kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano na mtu, unatakiwa at least umfahamu japo kwa vitu basic kabisa kama elimu yake, anaishi wapi, kazi anazofanya, anapendelea nini nk nk. Naamini uliyajua hayo yote, lakini inawezekana kabisa kwa kujua kabasi ulimkubali na sasa ameuteka moyo wako.

Sidhani kama ni jambo la kujutia sana, maana kwa hatua, amefuzu kwenye kukuburudisha ambacho ndiyo kigezo kimojawapo cha ndoa, ingawa si kigezo pekee maana ndoa ni zaidi ya 6 x 6! Kwa hivyo, nakushauri ukae nae muulize vyema kuhusu hatma ya maisha yenu, mipango yake ya baadaye, anafikiria nini kuhusu uhusiano wenu, anapenda kufanya shughuli gani nk nk.

Kama ukimuona ana nia ya maendelea na mipango madhubuti ya kimaendeleo, unaweza kumsaidia kwa namna yoyote ile ili muweze kutimiza ndoa zenu, lakini kama unamuona kuwa ni zumbukuku baada ya mahojiano hayo, basi kazi ni kwako unaweza kuchagua kuishi naye na kumlea for the rest of your life au kufanya maamuzi magumu.

Prior na kumsaidia kwenye shughuli zake za kiuchumi ni vyema kufanya uchunguzi zaidi wa matumizi yake ya pesa, tabia zake, mwenendo wake, upendo wake kwako, commitment yake kwako, familia yake na mtazamo wake juu ya maisha yenu ya sasa na baadaye.

Kila la kheri.
HP


Asante; nimekuelewa vizuri kabisa. Angalau naanza kupata mwanga wa nini cha kufanya.
 
Hivi mimi ni wa kumhonga mwanamume? Loh hivi nimepatwa na nini? Mwenzenu najishangaa sijawahi honga kidume chochote na si utaratibu wangu hata siku moja! Cha ajabu nimeangukia eti kwenye penzi, kidume hakina kazi, nakipa nauli, pesa ya kula, ya dawa na nguo nakinunulia! loh najishangaa nimekuwaje mie???? Najua vidume vitapiga kelele lakini ukweli utabaki pale pale, nimezaliwa mwanamke nastahili kupata huduma zote kutoka kwa mwanamume, nastahili kulelewa na sio kulea kidume chochote! Ndio je, ... mnataka kubisha, nyie bisheni tu ila nahitaji kukiondoa hiki kilichoniingilia na kupelekea mimi kuhonga kidume! eti penzi; loooo penzi gani la kulea dume zima lenye nguvu zake.

Kama kupenda ndio huku sitaki tena, nahitaji kuwa freee, nahitaji kupenda atakayenitunza na kunirusha rusha kwenye bahari ya maraha niufurahie uanamke wangu. Potelea mbali acha niliue hili penzi ingawa limenikaba koo maana kidume kiroho changu kimeridhika ila akili yangu haikubali kabisa... nitajitahidi niliepuke nipumue mtoto wa kike loH! nisaidieni jamani ili hiki kiroho changu kiache kupenda janga, yes, hili ni janga kwangu maana bajeti zangu zinaharibika kisa kuhudumia kidume... uwiiiiiiiiiiii


Naunga MGUU hoja. Tena hilo pepo la kuhonga LISHINDWEee kabisa.
 
[/color][/b]

du! Biashara tena??! Hapana; siwezi mfungulia maana kidume kinastahili kutafuta sio kutafutiwa. Nikifikiria hapo kwenye blue, kiroho kinadunda nabaki njia panda.

sasa wasubiri nini kama umeishaona hakufai? Piga chini huyo mwanaume kama binti
 
kutokua na ajira ni pati ya maisha at a given time ishu ni kua anaichukuliaje hali hiyo, ana focus yeyote kujinasua au ndo karidhhika amepata provider wa kila kitu maana hapo ndio kuna majanga
 
[/COLOR][/B]

Du! biashara tena??! hapana; siwezi mfungulia maana kidume kinastahili kutafuta sio kutafutiwa. nikifikiria hapo kwenye blue, kiroho kinadunda nabaki njia panda.
Kwani Beijing mlienda kufanya nini? au ni kwa baadhi ya vitu tu?
 
Asante, nitafanya hili jaribio soon.....

si rahisi kumuacha mtu anaekusugua vizuri..
Hakika nakwambia. Labda kama umempata mwingne ndo unatafuta sababu...mbaya zaid mapenzi uwa hayafi..mkikumbukana tu ..
 
si rahisi kumuacha mtu anaekusugua vizuri..
Hakika nakwambia. Labda kama umempata mwingne ndo unatafuta sababu...mbaya zaid mapenzi uwa hayafi..mkikumbukana tu ..


Mapenzi hufa na kuzikwa kabisa pale msuguliwaji anapokuwa kapata msuguaji mpya na akajua kusugua Kwelikweli.
 
Mfungulie biashara kama unajimudu uone kama atakuwa tegemezi kwako. Pesa zinatafutwa na kupatikana dada, lakini penzi la kweli kulipata shughuli na unaweza ulipate halafu kidume kikawa hakijimudu ktk 6x6.

Sasa kama wako anakutawanya vipande vipande halafu anakuunga tena usimuache, utakuja juta atakapochukuliwa na mwanamke mwenzako anayejua kutunza siku watakupita kwenye PRADO kwa raha zao.

uko sahihi,ni ushauri wa kuzingatia sana,pesa zinatafutwa kila siku!
 
kutokua na ajira ni pati ya maisha at a given time ishu ni kua anaichukuliaje hali hiyo, ana focus yeyote kujinasua au ndo karidhhika amepata provider wa kila kitu maana hapo ndio kuna majanga

sure!hili ndio la msingi,changamoto ya kutokua na ajira anaichukuliaje kwa sasa!hili ndio la msingi kueleweka kwa mleta uzi!
 
Yuko fit kabisa, tatizo ni pale tunamaliza naanza kudaiwa nauli, mara matumizi, mara oooooooo aaaaa gh! inanikera
wewe vipi bwana, unataka ufanyiwe kazi bure? ebu endelea kulipia huduma upatayo
 
hapo sku za nyuma kabla ya beijing mambo yalkuwa yanaenda vzur. Nwey, mapenz ni kusaidiana kama hana kaz kumsaidia sio dhambi, cha msingi ni baada ya kumsaidia anawaza nin? Je ni msaada milele ama? Kama umemchoka sahv kabla hata ya ndoa, ukfka huko akakosa kazi itakuwaje..majanga! Jiangalie, upime moyo wako kwani naamin ukimpenda mtu hata unachompa hutahesabu.
 
Naona kama DAWA za mganga wake zimeisha nguvu au kakosea masharti vinginevyo usingeleta uzi huu. Kama kweli unataka kudeka kwenye mapenzi jitahidi kuwa nyumba dogo.
 
Ebu piga chini fasta,majoto. Mimi ni mwanaume lakini nakerwa na mijanaume inayopenda kuegemea mwanamke kwa kila kitu. Umlalie, ummwagie, umlize, halafu umwombe hela ya matumizi,badala ya kumfuta machozi kwa karatasi nyekundu badala ya handkerchief? That is so crazy. Sikatai kuna kupata na kukosa, siku huna mara mojamoja akusaidie lakini sio uwe kama katoto kachanga kwake.

Aisee umesahau; amnyonyeshe, amvuruge les wig lake, aharib make-up za mwenyewe ....... kuna watu hawana aibu hii dunia. Alafu unamkuta anajisifia ile mbaya!
 
Back
Top Bottom