Simba akila majani kazidiwa si asili yake

Simba akila majani kazidiwa si asili yake

Ninahisi unafuta mtu wa kukuhonga!

Hizo ni hisia zako siwezi pingana nazo ila ukweli wangu ni kwamba sihitaji wa kunihonga, la sivyo nisingemkubali mtu asiye na kazi. Nina uwezo wangu wa kulitosha tumbo na mwili wangu vyatosha sana kwangu.
 
Ni kweli Biblia imeandika yote hayo uliyoyasema grafani11; na ukiisoma Biblia vizuri utaona kuna mambo yanagongana nadhani ndio maana majoto anaingia mitini kwa kuwa umembana katika hilo. Cha kuangalia hapa ni kwamba Mkutano wa Beijing ulilenga haki sawa kwa jinsia zote, kumbuka wana Beijing hawafati yaliyoandikwa kwenye Biblia ila lengo lao ni kumpa haki sawa mwanamke katika njanja zote ikiwemo elimu, kufanya kazi, kumiliki ardhi na mengine.

Sasa hapo msijichanganye maana hata hao wana Beijing walijichanganya ndio maana wengine walipoteza ndoa zao kwa kutokuwa na busara ya kupambanua mambo na kujua nini wanadai. Back to the topic Majoto anaona si halali kumlea mwanamume kisa mapenzi.

Asante kwa kunielewa happiness win; grafani11 upooo? umeelewa sasa eeee, unanikaba tu mwana wa mwenzio lol!
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kunielewa happiness win; grafani11 upooo? umeelewa sasa eeee, unanikaba tu mwana wa mwenzio lol!
Nashukuru:
1. Kwa kukubali kubanwa na maswali yangu ndiyo maana ukaingia mitini.
2. Kwa kukubali kwamba wanawake mlipoenda Beijing mliomba haki sawa kwa maeneo yote, na kwamba mlikiri wenyewe kwamba nyinyi ni sawa na wanaume katika kila idara ya maisha. Ingawaje happiness win amesema kwamba baadhi walipotoka huko walipoteza ndoa zao baada ya kutaka ku-implement ideology waliyoipata huko. Swali la msingi sana ni, mbona inaonekana kama vile haki hii inatafutwa kwenye ngazi za maamuzi tu na sio kila idara kama wafanyavyo wanaume mfano kuchimba mitaro,.... pamoja na kuhonga wanaume kama wanaume wafanyavyo kwa wanawake?
 
Kwani hujaona wanawake wanaofanya kazi za wanaume? wanachimba mitaro na kila kitu; hizo ni kazi. Naona unachanganya kati ya kuhonga na kulea dume zima lenye nguvu lisilokuwa na kazi. Sizungumzii kuhonga nazungumzia kulea. Jamani happiness win usikae mbali na mimi; wananikaba hukuuuuuuuuuuuuuuu mie sikwenda Beijing sasa wakikazia mambo ya Beijing mmmh....:drum:
 
Wewe hukwenda Beijing lakini mbona sera zao unazitumia? halafu kama unajua wanawake pia hufanya kazi kama zile wazifanyazo wanaume unaona tabu gani kuchukua na majukumu mengine ya kiume pia?
 
haki sawa.......!!mtaweza kujikomboa kweli kama mnashindwa majukumu madogo kama hayo wanawake?
 
haki sawa.......!!mtaweza kujikomboa kweli kama mnashindwa majukumu madogo kama hayo wanawake?
Mkuu wataweza wapi kama mambo yenyewe ndiyo haya ya kupiga makelele mpaka mate yanakauka eti kwa tuhela tudogo tu twa kula nyumbani.
 
Wewe hukwenda Beijing lakini mbona sera zao unazitumia? halafu kama unajua wanawake pia hufanya kazi kama zile wazifanyazo wanaume unaona tabu gani kuchukua na majukumu mengine ya kiume pia?

Nitachukuwa jukumu la kulea maskini na wasiojiweza lakini sio kidume chenye afya nzuri kabisa kisa penzi NOOOOOO! Yaani hata kikikaa kinajisifu ninalelewa na mwanamke; au kijisifie kwa mapenzi kinayoyafanya! nasema NOOOOOOO
 
Hiyo ni wewe na mtazamo wako, wenzako huku mitaani walipotoka Beijing wanatekeleza yote pamoja na hayo kwa amani kabisa.
 
Tulia tuliiiiii Kijana akuoneshe Raha za dunia...tulia kama unanyolewa unalalamika nini?kusimamia shoo nayo kalama oooh!kanyimwa pesa kapewa uwezo wa kukuna....
 
unazomhonga na yeye anahonga pia so ongeza budget tu dada mwenzio anamajukumu pia upande wa pili. Aliyeuza cheni....... Aliyetoa hela .... Waau.
 
Hivi ni nyie huwa naskia mkisema skuhizi hakiww sawa (50/50)!!??
Sasa kelele za nn kama unahudumia?
 
Kwakungwi kwaliwa na kwamwari pia kuliweeeeeeeeee.shosti umedandia dala dala kwa mbele? siungemsoma kwanza tabia
na nyendo zake maisha yake,au kama alikua na kazi na sasa hana kama unampa kwakumsaidia mambo yakutafuta kazi
sio mbaya hata kidogo na wala usitegeme malipo, sasa inakuwaje raha zake unazipenda na mizinga huipendi?
umeona vile inavyokera kutoa eeeh? basi ukishampiga na chinii huyo ukimpata mwengine na wewe usiwe ukiomba
eti kisa mwanamme jifunze kupewa sio kuomba.
 
Siku hizi na Madume wanaenda kwa Waganga wa kienyeji wa kike kupewa dawa ya mapenzi ....!
Kwa hiyo umelishwa limbwata BATATA .............!:love:
 
Hivi mimi ni wa kumhonga mwanamume? Loh hivi nimepatwa na nini? Mwenzenu najishangaa sijawahi honga kidume chochote na si utaratibu wangu hata siku moja! Cha ajabu nimeangukia eti kwenye penzi, kidume hakina kazi, nakipa nauli, pesa ya kula, ya dawa na nguo nakinunulia! loh najishangaa nimekuwaje mie???? Najua vidume vitapiga kelele lakini ukweli utabaki pale pale, nimezaliwa mwanamke nastahili kupata huduma zote kutoka kwa mwanamume, nastahili kulelewa na sio kulea kidume chochote! Ndio je, ... mnataka kubisha, nyie bisheni tu ila nahitaji kukiondoa hiki kilichoniingilia na kupelekea mimi kuhonga kidume! eti penzi; loooo penzi gani la kulea dume zima lenye nguvu zake.

Kama kupenda ndio huku sitaki tena, nahitaji kuwa freee, nahitaji kupenda atakayenitunza na kunirusha rusha kwenye bahari ya maraha niufurahie uanamke wangu. Potelea mbali acha niliue hili penzi ingawa limenikaba koo maana kidume kiroho changu kimeridhika ila akili yangu haikubali kabisa... nitajitahidi niliepuke nipumue mtoto wa kike loH! nisaidieni jamani ili hiki kiroho changu kiache kupenda janga, yes, hili ni janga kwangu maana bajeti zangu zinaharibika kisa kuhudumia kidume... uwiiiiiiiiiiii

umesomeka mama! nilitaka nikunyee vineno weee ila basi tu! hakuna petroli bora kumfanya mtoto wa kiume ajitume zaidi kama kujua anapendwa. labda kama huyo kidume wako mgonjwa wa akili. kama yupo sawasawa kichwani basi kaa ukijua penzi lako litazaa mafanikio ya ajabu katika maisha yenu kwa nguvu na akili yake. hakuna kitu chema duniani kushinda penzi la dhati kutoka kwa mke. behind every successful man, there is a woman; a loving woman! an honest woman!

and the opposite is true: behind every failing man, there is aaaaaalllllways a woman!
 
Back
Top Bottom