grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Kwani sera yenu iliyowapeleka huko inasemaje? Wanaoijua ndiyo maana hawakuuliza kitu.Beijing na kuhonga vidume wapi na wapi? loooh
Kwani sera yenu iliyowapeleka huko inasemaje? Wanaoijua ndiyo maana hawakuuliza kitu.Beijing na kuhonga vidume wapi na wapi? loooh
Naona kama DAWA za mganga wake zimeisha nguvu au kakosea masharti vinginevyo usingeleta uzi huu. Kama kweli unataka kudeka kwenye mapenzi jitahidi kuwa nyumba dogo.
Hivi "Gender Equality" ilianzia wapi?Sera yetu ni wanawake tuthaminiwe, tusomeshwe, tupewe haki zetu.
Mbona hujawahi kuhoji kwanini wanaume tu ndiyo wanahonga baada ya mtanange?Kazi gani? kama ni kwenye 6 x 6 tunashughulika wote, sasa kwa nini ahongwe?
lazima ni nini?sio lazima mwanamume kuhonga baada ya mtanange, huo ni udhaifu wa mtu tu. Nachozungumzia mimi ni mwanamke kumhudumia kidume (kumlea mpenzi wake).
Umekimbia swali..Rudi kwenye swali langu halafu jibu ipasavyo.Hivi mwanamume kuhongwa ni gender equality???
Lazima mwanamume amtunze mwanamke.
mapepo ya ngono haya jamani...mnatuvuruga tume concentrate na katiba mpya jamani
hiyo inaitwa take home salaryKazi gani? kama ni kwenye 6 x 6 tunashughulika wote, sasa kwa nini ahongwe?
Imeandikwa wapi kuwa ni lazima mwanamume amtunze mwanamke? Au ni katiba yako mwenyewe?Lazima mwanamume amtunze mwanamke.
Na ni Bible hiyo hiyo iliandika mwanamume ni kichwa cha nyumba, kama mnaifuata Biblia nini kiliwafanya muende Bejing kutaka usawa?Bible yangu imeandikwa hivyo, yako inasemaje?
Hivi mimi ni wa kumhonga mwanamume? Loh hivi nimepatwa na nini? Mwenzenu najishangaa sijawahi honga kidume chochote na si utaratibu wangu hata siku moja! Cha ajabu nimeangukia eti kwenye penzi, kidume hakina kazi, nakipa nauli, pesa ya kula, ya dawa na nguo nakinunulia! loh najishangaa nimekuwaje mie???? Najua vidume vitapiga kelele lakini ukweli utabaki pale pale, nimezaliwa mwanamke nastahili kupata huduma zote kutoka kwa mwanamume, nastahili kulelewa na sio kulea kidume chochote! Ndio je, ... mnataka kubisha, nyie bisheni tu ila nahitaji kukiondoa hiki kilichoniingilia na kupelekea mimi kuhonga kidume! eti penzi; loooo penzi gani la kulea dume zima lenye nguvu zake.
Kama kupenda ndio huku sitaki tena, nahitaji kuwa freee, nahitaji kupenda atakayenitunza na kunirusha rusha kwenye bahari ya maraha niufurahie uanamke wangu. Potelea mbali acha niliue hili penzi ingawa limenikaba koo maana kidume kiroho changu kimeridhika ila akili yangu haikubali kabisa... nitajitahidi niliepuke nipumue mtoto wa kike loH! nisaidieni jamani ili hiki kiroho changu kiache kupenda janga, yes, hili ni janga kwangu maana bajeti zangu zinaharibika kisa kuhudumia kidume... uwiiiiiiiiiiii