Simba aibu tupu, refa atoa red card kwa kuamriwa na mchezaji Mugalu

Ni kweli safari ni ndefu ndio maana tulifungwa na river united ila Simba kimataifa na ligi kuu misimu minne mfululizo yupo juu
Hakiya mungu kama simba ikifika robo final msimu huu najitoa jf
 
Yani kile kitimu kimeumiza wachezaji watatu mpaka wakatolewa nje, bado kuna utopolo anakitetea!!!
wachezaji ni ndugu zetu na ni binadamu, hakuna mtu mwenye akili timamu atafurahia kuona mchezaji anaumizwa, lakini sio sawa pia mwamuzi kupewa maagizo na mchezaji mnufaika. Refa kaonyesha udhaifu wa hali ya juu, aliamua kwa kutumia moyo wake badala ya ubongo wake.
 
Yaan refa ni konyo kweli. Mpaka abanwe na lile lipiga mashuti nje ndo atoe kadi. Stupid sana ww refa.
 
Kila siku huwa nasema mashabiki wa utopolo wote hawana akili kasoro Kikwete peke yake kwa akili yako ilivyokuwa finyu unataka mpaka mtu atoke damu ndio utoe kadi nyekundu kama unaona Mabingwa wa nchi wanapendelewa nenda chama cha waamuzi uwaombe na uchezeshe wewe acha kulia kulia vinginevyo mtatesekana sana na Mnyama
 
Usijali mkuu kama TFF tumekaa kikao na kujadili hili swala la simba wakichoka wanaanza kujirengesha ili wapigwe timu pinzani wapate redcard

Tumeadhimia hii ndio itakuwa kadi nyekundu ya mwisho kwa timu zinachocheza dhid ya simba
 
Mbona sisi tunajua haifiki ndiyo maana tumewaomba ndugu zetu wa kidimbwi mtusaidie kufika nusu fainali jamani mbona ni simple tu klabu bingwa?Ni zamu yenu sasa na nyie
Hawa club bingwa yao ni Simba na tena mpaka wahaidiwe hela huko CAF ni sawa na wasomali tu
 
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?

Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
We dada usitutafutie ban bure,maana nilitaka nikutukane bonge la tusi.

Hivi tukiweka ushabiki pembeni unadhani yule boya wa Dodoma Jiji hakustahili straight red card? Mishabiki mavi kama wewe ndo mnadumaza soka letu.
 
Whatever the result, Simba are a pale shadow of what they used to be.

Needless to say, the side now relies on the backing of the match officials to get the results. It's very pathetic.
 
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?

Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Utopolo mnateseka kuliko Dodoma jiji
 
Nilijua ni mimi tu nikiyeshangazwa na ile Red card,mpira haukusimama baada ya kolo kujiangusha,refa na wasaidizi wake hawakuona km ni tukio la kusimamisha mchezo,cha ajabu refa kukubali kusimuliwa tukio na mchezaji mnufaika (Mugalu) na kufanyia maamuzi porojo za Mugalu,Mudi kaamua kununua ushindi
 
Mechi ya Biashara united Kennedy Juma alistahili Red card chakushangaza refa hakutoa na tukio aliliona, Leo refa hajaliona tukio lakini amefanya maamuzi baada ya kujadiliana na mchezaji wa Simba (Mugalu), mpira wetu una maajabu ya pekee kabisa.
 
Imefika point hata uhai wa mchezaji hauthaminiki tena inasikitisha sana,zile rafu ni za kuua kabisa zilitakiwa red cards 3 ndiyo maana namungo walikula sana kadi na mapenalties huko CAF sababu ya kuzoea ujinga wa hapa bongo
No proffesionalism kwa wanasoka wa bongo ile ya manula nayo ni red
 
Back
Top Bottom