Simba aibu tupu, refa atoa red card kwa kuamriwa na mchezaji Mugalu

PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAA
Tuwashukuru Azam kuuonesha mpira wetu maana maajabu ya tukio kama lile tusingeyaona Wala kuyasikia. Kocha anafanya maamuzi makubwa kwa kuambiwa na mchezaji anaenufaika na adhabu kutolewa. Huyu ni refa wa kwanza duniani, ameingia kwenye Guinness book. TFF tunaisubiri itasema nini.
 
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?

Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?

ndio ujue kuwa simba ni timu kubwa. utopolo wahed
 
tunachojua simba anapoint 4.
Kwaakili za utopolo simba walipo droo na wao kushinda wakajua washashinda ligi
 
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?

Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Sawa mama mdogo. Unaumia kiasi gani. KUNYA BOGA
 
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?

Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Akili zako ziko matrakoni. Au nasema uongo ndugu zangu.

Kwahiyo Wewe unafikiri refa akiwa pale kati Hana maamuzi mpaka aambiwe na mshika kibendera.

Pia ww unafikiri pia kwamba refa hawezi kuyakataa maamuzi ya mshika kibendera.

Kadi ilikuwa halali na dunia nzima inajua.

Mchezaji anapofanya ujinga lazima ujinga wake utaigharimu timu.

Ndiyo maana uliona hata benchi la ufundi la Dodoma Jiji lilimwita yule mchezaji na kumwonya.

Yale ndiyo matokeo ya kukamia.

Hela GSM zitawagharimu wengi kwasababu km huna uwezo ni huna uwezo tu.
 
Wanafungwa dodoma jiji. Mnateseka utopolo nasikia mna gawa njugu kuwa.hamasisha vijana wa mikoani waifunge simba hakuna marefu yasiyokuwa na ncha mashine ya mabao imefunguliwa rasmi sasa mkae mkijua balaa limeanza na litakua noma saana
Dawa yao ipo jikoni.
 
Akili zako ziko matrakoni. Au nasema uongo ndugu zangu.

Kwahiyo Wewe unafikiri refa akiwa pale kati Hana maamuzi mpaka aambiwe na mshika kibendera.

Pia ww unafikiri pia kwamba refa hawezi kuyakataa maamuzi ya mshika kibendera.

Kadi ilikuwa halali na dunia nzima inajua.

Mchezaji anapofanya ujinga lazima ujinga wake utaigharimu timu.

Ndiyo maana uliona hata benchi la ufundi la Dodoma Jiji lilimwita yule mchezaji na kumwonya.

Yale ndiyo matokeo ya kukamia.

Hela GSM zitawagharimu wengi kwasababu km huna uwezo ni huna uwezo tu.
Mchezaji kagongana na mwenzake wakati wanawania mpira wa juu, mpira una waamuzi 3 wanaoshirikiana kuona matukio uwanjani, ni mwamuzi gani kati ya wale 3 aliyeona kiwiko kilichomuumiza mchezaji wa simba? Wewe uko lonyalonya kiakili na siajabu bado unakojoa kitandani. Mimi naoengea fact wewe unaongea ushabiki kama demu. Hivi mchezaji mwingine angejiangusha kwa makusudi na kugalagala chini kama aliyeumia sana kisha refa anakwenda kupata habari za mchezaji kutoka kwa mchezaji mwenzake, kisha refa bila kuangalia kushoto wala kulia akachomoa red card akampa mchezaji huo ndio utokotoko unaoushabikia kuwa ni sawa?
 
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?

Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
We ni kaizi tu, hukuona lile tukio au unaleta mahaba na timu yako kwa kuichukia simba, waambie hao wachezaji wenu wacheze vizuri hasa na timu kubwa, pale kulikuwa na Kadi mbili nyekundu.
 
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?

Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Kwa maoni yako lile kosa lilistahili rwd card au halikustahili?
Toa maoni yako bila ushabiki. Refa kumsikiliza mchezaji malalamiko yake siyo kosa.
 
Kosa limetendeka na inawezekana adhabu aliyotoa mwamuzi ilikuwa sawa kabisa, lakini namna alivyojiridhisha hadi kutoa red card sio sahihi kabisa, kwasababu huwezi kutoa adhabu kwa kuangalia mchezaji anavyojigalagaza chini kwa maumivu, bali lazima ushuhudie mwenyewe au wasaidizi wako walioshuhudia wakuelezee namna tukio lilivyotokea na dhamira ya mtenda kosa wakati wa kutenda kosa. Ilikuwa bahati mbaya au alidhamiria. Yule mwamuzi hakuona namna kosa lilivyotendeka alijuaje kama ilikuwa yellow, red au bila card yoyote?
 
Kwa maoni yangu ni kuwa mwamuzi aliona kama kuna kosa limefanyika lakini akajipa muda wa kujiuliza ikiwa ni kweli au la na ni kosa gani (huo muda aliutumia katika kumshughulikia majeruhi kwanza) , lakini pia kama kawaida ya wachezaji walioathirika huwa hawaachi kulalamika ili haki itndeke yaani mtenda kosa aadhibiwe.
Haijawa wazi ikiwa referee ameegemea ushahidi wa maneno kutoka kwa mchezaji mlalamikaji pekee au kapata ushahidi upi mwingine. Isipokuwa tumeona baada ya kumaliza kumsikiliza yule mchezaji akaenda kutoa kadi. Kama kuna mtu wa kuthibitisha hizi tuhuma ni refa mwenyewe sisi wengine tutajikuta tupo kishabiki zaidi na itakuwa haina maana.

Itoshe kuwa mtenda kosa ameadhibiwa kulingana na kosa alilofanya na hili linamwacha refa akiwa salama bila kuhojiwa.
Maana ukimuuliza anaweza toa jibu moja tu:- ,,NILIONA"
 
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?

Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Nendeni mkashitaki CAS
 
Kelele nyingi za nini?

Sisi sasa hivi tunaudugu na waamuzi kuhakikisha wapinzani wetu wanakula kadi nyekundu ili tuweze kufunga magoli kwa urahisi.

Uwezo wetu msimu huu ni mbovu, hatuna jinsi ya kufanya zaidi ya kuwekeza dau kwa waamuzi wa mechi zetu na wa mechi za Utopolo wakataliwe magoli wanayofunga
 
Back
Top Bottom