Simanzi Yanga,wapangwa kundi moja na Simba-Kagame Cup

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,778
Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.

Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.

Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
 
Ukiweka ushabiki kando utagundua CECAFA wapo kimaslahi zaidi. There is no way ukaziweka Real Madrid na Barcelona kwenye kundi moja. Maybe ni njia ya kuilazimisha Yanga ipeleke first eleven yake kamili na sio vijana kama wanavyofanya miaka ya hivi karibuni. Mwenye mapenzi mema na maendeleo ya soka ukanda huu hawezi akafurahia huu upuuzi.
 
Mumechomekwa fasi ya dwasi
 
Hali ya simanzi imeikumba Yanga jioni ya leo baada ya makundi ya kombe la Kagame kutoka jioni ya leo.

Yanga imepangwa kundi moja na timu tishio Africa mashariki na kati Simba SC. Kundi C lina Dakahada na St.Peters.

Ikumbukwe tu katika msimu uliopita Yanga walikwepa kikombe hicho kwa kisingizio cha kushiriki CAF.
Mamikono mawili mnaingiziwa kama mko labour

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom