Mkuu, avatar yako. duh umeipenda tu au ina maana gani?😀Hata mimi huwa nashangaa watu humu wanaquote habari nzima halafu wanacomment mstari mmoja! Kwa nini usinukuu sehemu ya habari unayoona unataka kuitolea comments? Kama unataka kutolea habari yote, kwa nini sasa unanukuu? Kwa kufanya hivyo vertical scrolling inakuwa ndefu na inaboa!
Do you know hizo nyumba ni za Lowassa?Kuweka facts sawasawa, millya anaishi kwenye nyumba ya rafiki zake ambao wamepanga kwenye hiyo nyumba hiyo ya sakina tangu miaka ya 2000, yeye millya amehamia hapo mwaka jana tu.
Do you know hizo nyumba ni za Lowassa?
James anaishi na yule mzungu aliyemsomesha kwenye hiyo nyumba. Awe anapanga au anaishi bure lakini ni nyumba ya Lowassa!
Tusome taarifa yake kwa makini halafu tuijadili kama watu makini na tuache jazba na ushabiki usiokuwa na maana. ninasema hivyo kwa sababu nimegundu humu jamvini kuna watu wanapenda kuandikia hisia/mapenzi/chuki bila kutumia logic.Naona vita vinaendelea.Kwenye bold hapa niingii akilini kabisa.Kusoma au kufanya harakati mbalimbali hakumaanishi kutumika ama kutotumika...Lakini pili atuletee CV yake humu kuzungumza kama kasuku hakuna impact yeyote.
.Wahenga walisema, ficha UPUMBAVU wako onyesha HEKIMA yako. inasikitisha kuona jinsi wana JF wakichangia hoja kwa kuongozwa na chuki na ubinafsi wa hali ya juu,kila mtu ana jaribu kuonyesha mapungufu ya Millya na makosa yake kwasababu tu wanaamini EL yuko nyuma yake,sote tunasau yale aliyotendewa na Sendeka. "mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"
1. Je ni halali kwa Sendeka kumpiga yeyote kwasababu tu amejipambanua kama mpiganaji wa ufisadi na jamii itamtetea kwa misingi hiyo?.
2.Je ni halali kwa Mengi kutumia vyombo vyake kukandamiza wengine?- Mfanyakazi mwenzangu aliniambia usiamini Habari yoyote inayo andikwa magazetini mpaka itakapoandikwa kuhusu wewe utakuwa na nafasi ya kuchambua ukweli na uongo.
Ni kweli ushahidi ulikuwa dhaifu,kijana hakujipanga hata wale waliohaidi kutoa ushahidi wengine waligeuka, mfano,Telele. Mbunge huyu ananitia mashaka alimuunga mkono Millya mwanzoni lakini pale millya alipomwonyesha msimamo na kumwambia hafai kuwa kamanda wa vijana jimbo la Ngorongoro ndipo alipomgeuka,na hii imejitokeza pia katika mapokezi ya Sendeka Simanjiro wabunge ambao hawakuungwa mkono na Millya kuwa makamanda wa vijana kwenye majimbo yao walienda Simanjiro kumpokea Sendeka, Felix Mrema wa jimbo la Arusha Mjini ambao ukamanda wake umechukuliwa na Diwani mmoja kwenye jimbo lake alikuwepo, Elisa molel wa Arumetru Magharibi ambaye ukamanda wake umechukuliwa na Medeye ambaye ni mpinzani wake jimboni alikuwepo, Lekule Laizer Mbunge mwadilifu asiye na makuu ambaye ndugu millya aliamini anastahili kuendelea kuwa kamanda wa jimbo la Longido naye aliwasindikiza swahiba zake Mrema na Elisa.
Jamvi hili ni muhimu kwa mustakabali wa fikra zetu ni vizuri tusirukie kuchangia hoja bila ya kutafuta ukweli wa mambo.
Nadhani ilikuwa ni wakati kwa wana JF hasa wenye fani ya Sheria kumshauri Millya cha kufanya rather than throwing stones to him,itamsaidia kujipanga upya na yeye aweze kupata haki yake na Sendeka apate fundisho la kuacha kunyanyasa watu wa chini na kukimbilia kwenye vikao vya mila.
.Millya C.V ya LL.M ina mashaka 'Hapa nilipo nina shahada ya pili katika Sheria za Haki za binadamu na demokrasia niliyoipatia katika vyuo vikuu vya Pretoria, Afrika Kusini na American University of Cairo.'
Masters moja vyuo vikuu viwili, nchi mbili tofauti na siyo affiliate ya chuo kingine! Umechemsha! Ulibebwa hivyo kubali kushindwa.
.Tusome taarifa yake kwa makini halafu tuijadili kama watu makini na tuache jazba na ushabiki usiokuwa na maana. ninasema hivyo kwa sababu nimegundu humu jamvini kuna watu wanapenda kuandikia hisia/mapenzi/chuki bila kutumia logic.
.Millya C.V ya LL.M ina mashaka 'Hapa nilipo nina shahada ya pili katika Sheria za Haki za binadamu na demokrasia niliyoipatia katika vyuo vikuu vya Pretoria, Afrika Kusini na American University of Cairo.'
Masters moja vyuo vikuu viwili, nchi mbili tofauti na siyo affiliate ya chuo kingine! Umechemsha! Ulibebwa hivyo kubali kushindwa.