Hivi Sendeka hakuwepo katika kikao cha bunge kilichofunga mjadala wa Richmond?
Naona mawazo ya jumla ya wengi yanashindwa kuangalia vipengele vingine vinavyotia mashaka kama alivyosema Millya, IMEKAA KAAJE SHAHIDI MUHIMU WA MASHTAKA KUANDAA MAPOKEZI YA MSHTAKIWA?
Mnadhani hapo hakuna mikakati miovu iliyofanyika?
Kama Millya anaiheshimu mahakama vile vile anatakiwa ayaheshimu maamuzi yake mahakama haikumuona Sendeka na hatia kuna ubaya gani kwa mtu yeyote akiwemo yule anayemuita shahidi muhimu kuungana na kusalimiana na mtu huruNaona mawazo ya jumla ya wengi yanashindwa kuangalia vipengele vingine vinavyotia mashaka kama alivyosema Millya, IMEKAA KAAJE SHAHIDI MUHIMU WA MASHTAKA KUANDAA MAPOKEZI YA MSHTAKIWA?
Mnadhani hapo hakuna mikakati miovu iliyofanyika?
Hata mimi huwa nashangaa watu humu wanaquote habari nzima halafu wanacomment mstari mmoja! Kwa nini usinukuu sehemu ya habari unayoona unataka kuitolea comments? Kama unataka kutolea habari yote, kwa nini sasa unanukuu? Kwa kufanya hivyo vertical scrolling inakuwa ndefu na inaboa!Mfianchi , Gengder Sentive
Naadhani ni jambo zuri na busara zaidi ukiona umuhimu wa kunuu taarifa ya mtu ukanukuuu (Quote )kipengele cha muhimu kuliko kunukuu habari nzima tena ndefu. It is redunducy sijui wengine wanachukuliaje.
.
Kaka unanivunja mbavu huku, mh kama haya maneno ni kweli basi Mungu anajua nchi hii inaenda wapi?James Ole Milya kachokoza nyuki, subirini mshuhudie jinsi Ole Mangi atakavyo mshukia.
Mimi binafsi sijaridhishwa na presentation hii ya Ole Milya kama holder wa LL.M, nitafurahi kama nitasikia hiyo LL.B yake aliichukulia wapi, maana anaandika kama just a layman. Kama mwanasheria, he should have known better.
Kama Ole Milya unaingia JF, nakushauri achana na kukata rufaa, Jamaa huwawezi!. Mtandao wao ni mkubwa!. Futalia kesi ya Silverdale Farm, kuna mzungu ameondoka nchini akilia, kamaliza mahakama zote na bado kalizwa, utakuwa wewe Ole Milya?.
Concetrate na kumng'oa Ole Sendeka kupitia vikao vya chama chako, hayo machafu uliyoyaeleza, yapeleke kwenye vikao vya chama ili Sendeka aenguliwe, usimame wewe kwa tiketi ya CCM, Sendeka atasimama na Chadema, CCM itakula mweleka wa nguvu huku kambi ya upinzani ikiimarika.
Kumwaga radhi si ndo zao humo sisiem? unakumbuka ya SS.Hivi huyu James anataka kugombea ubunge kwa Sendeka?
Naona hii si kumchafua tu hii ni kumwaga radhi kwa nguvu.
Mzee mwinyi inabidi asuruishe tena hapa. Hapa si salama
.
Mzee Mengi na Media Zake ni kikwazo kikubwa sana katika demokrasia ya nchi hii.Huyu mzee kuna siku yatakuja kumpata ya kumpata.
Tatizo kubwa hapa jf,wengi ni washabiki na hawamjui huyu mzee kwa undani alivyo yeye na media zake..
Ni vizuri umesema fikra zako waziwazi, lakini dua ya kumpata yatakayompata mwenzio sio murua sana, kwa sababu maneno ya mtu huunda kitu. Isije ikatokea ya kumtokea Mengi ukakumbukwa nawewe kuhusishwa. Tusiombeane mabaya, sisi sote ni watoto wa dugu moya..
Mzee Mengi na Media Zake ni kikwazo kikubwa sana katika demokrasia ya nchi hii.Huyu mzee kuna siku yatakuja kumpata ya kumpata.
Tatizo kubwa hapa jf,wengi ni washabiki na hawamjui huyu mzee kwa undani alivyo yeye na media zake..
Hata mimi huwa nashangaa watu humu wanaquote habari nzima halafu wanacomment mstari mmoja! Kwa nini usinukuu sehemu ya habari unayoona unataka kuitolea comments? Kama unataka kutolea habari yote, kwa nini sasa unanukuu? Kwa kufanya hivyo vertical scrolling inakuwa ndefu na inaboa!
Njaa mbaya sana huyo dogo mbona anatapa tapa sana aliaidiwa donge nono nini akimfunga Ole Sendeka? Kaa pembeni bana sio unaleta hadithi za kusadikika. Wewe EL anakufadhiri unafiki watu hawajui? Njaa mbaya sana unakuta mtu na taaluma yake anageuka kuwa mtumwa wa njaa.