Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,554
- 45,855
kuna nini?Njoo pm tafadhalie bibie
kuna nini?Njoo pm tafadhalie bibie
Kama kweli kapambana nao kwa kuuvuta na kuuzungusha pale lazima uguse nyaya zenye moto na pale kati hua kuna insulator sasa kwakuvuta na kusukuma yaweza gusisha vile vipande chajuu na cha chini ambavyo vimetenganishwa na insulator ile kwahyo short au umeme hupita moja kwa moja hadi aridhini.Imekuaje waya wa support wa nguzo kupitisha umeme? habari haijitoshelezi.
Stay wire inayo ceramic insulator hapo juu ajabu imepitisha umeme hadi kusababisha kifo.Imekuaje waya wa support wa nguzo kupitisha umeme? habari haijitoshelezi.
Ndo nashangaa!!Stay wire inayo ceramic insulator hapo juu ajabu imepitisha umeme hadi kusababisha kifo.
Hapa umefafanua vizuri sana.Kama kweli kapambana nao kwa kuuvuta na kuuzungusha pale lazima uguse nyaya zenye moto na pale kati hua kuna insulator sasa kwakuvuta na kusukuma yaweza gusisha vile vipande chajuu na cha chini ambavyo vimetenganishwa na insulator ile kwahyo short au umeme hupita moja kwa moja hadi aridhini.
du kweli dunia imevaa kimini yaani mkuu mtu kateketea wewe mbavu huna
Itakuwa ilikuwa na resistance ndogo, labla hiyo inslator ilitengenezwa kwa ajili ya LV(240 to 220v), ikawekwa kwenye nguzo ya 11KV au 32KV lazima ipitishe tu umeme, mfano mzuri hizi tesa tunatumia majumbani ndani yake kuna resistor inayoweza himili 240v ndio maana tunaitimia bila shida yoyote, tester hiyo ukiitumia kwenye 11kv lazima usome numberStay wire inayo ceramic insulator hapo juu ajabu imepitisha umeme hadi kusababisha kifo.
Umeambiwa kafakalazwa hospitali gani?
Sasa mkubwa hapo ni nini kinachokuvunja mbavu!!?.
Mkuu nadhani huwa kuna makosa ya kiufundi huwa yanafanyika kwa sababu hata maeneo ya Mbagala mwaka huu mwanzoni kuna mtoto alifariki kwa kugusa huo waya tena wenyewe ulikuwa bado umechimbiwa chini.So haikujulikana ule umeme ulifikaje mpaka kule chiniView attachment 372944 nifahamishe vizuri sababu kuanzia hapo kwenye red hadi kushuka chini huwa umeme haupiti sasa imekuwaje mpaka umeme umemuua?
acha kukurupuka,soma vizur hio habarImekuaje waya wa support wa nguzo kupitisha umeme? habari haijitoshelezi.
no.... Utaokota.Maisha Magumu tutaokota mpaka kinyesi cha mbwa
He ninachokiona ni sahihiau?
yani kama aliukata chini ukabaki juu ukininginia kuna uwezekano mkubwa ule waya ukagusana na nyaya zenye umeme kwenye nyaya za juuImekuaje waya wa support wa nguzo kupitisha umeme? habari haijitoshelezi.