Simanjiro: Afa kwa shoti ya umeme baada ya kutamani waya ulioshikilia nguzo ya umeme

Poleni wamasai wote nchini hasa watengeneza bangili nk,muache kuhujumu miundo mbinu ya umeme ni hatari sana.
 
alikauka ng'ombe na kondoo wawili,kuna nyaya nyembamba uwa inakaa juu kabisa ya nyaya hzo kubwa ikawa imekatika na kuanguka,ikagusana na ya moto,ng'ombe walivyopita na kondoo wakaugusa ule waya,hapo hapo,hata maji hawajaomba
 
Niseme ukweli hawa ndugu zetu masai wanatakiwa ifanyike kampeni kubwa sana ya kuwaelimisha yaani bado wako karne ya 18 ukimkuta aliyeelimika mzuri sana ila hawataki wenzao waelimike kama wao huwa inaniuma sana kwani nimeishi nao muda mrefu kikazi
 
Back
Top Bottom