- Thread starter
- #41
🤣🤣🤣 Ni kweli mkuu Neno Advantage limewachanganya ndio maana wanaropokwa ovyoMkuu labda hilo neno Advantage
Limemchanganya
Sasa mkuu ungeweka mawasiliano yako peupe kuliko hizo pm
🤣🤣🤣 Ni kweli mkuu Neno Advantage limewachanganya ndio maana wanaropokwa ovyoMkuu labda hilo neno Advantage
Limemchanganya
Sasa mkuu ungeweka mawasiliano yako peupe kuliko hizo pm
Sasa mbona limeandikwa advantage? Tuoneshe sehemu iliyoandikwa SIM TANK hapo yenye maandishi ya rangi ya njano ili tukuamini kweli unauza SIM TANK.Jamani msiwe mnaharibia watu biashara me co mwendawazimu niandike Sim tank wkt ni brand nyengine ninachoandika ninauhakika nacho ndio maana nikaandika km unahic co huhitaji ni Bora upite tu
Siyo limemchanganya huo ndio ukweli SIM TANK ni kampuni ambayo tunajuwa ukinunua utakuta hayo maandishi labda kama siku hizi SIM TANK wanaitwa Advantage.Mkuu labda hilo neno Advantage
Limemchanganya
Sasa mkuu ungeweka mawasiliano yako peupe kuliko hizo pm
Asante sana Mkuu kwa kuwafahamishaLimechukuliwa Leo ni kweli ilikuwa simtank na jamaa kafanya uungwana mkubwa hakuwa mmiliki kamuunganishia mtu na alitoa namba ya mhusika moja moja tukawasiliana nae na kwenda kulichukua
View attachment 1691970
Kampuni gani na lishatobolewa?Sim Tank La Maji Lita 10000 linauzwa lipo Dar,
Bei 1,000,000, Karibuni kwa maelezo zaidi PM Please
Mdau umeona coment za wasio na ela huko juu....wakaacha kutaja bei na kugeukia neno advantage mamaeee...Limechukuliwa Leo ni kweli ilikuwa simtank na jamaa kafanya uungwana mkubwa hakuwa mmiliki kamuunganishia mtu na alitoa namba ya mhusika moja moja tukawasiliana nae na kwenda kulichukua
View attachment 1691970
🤣🤣🤣🤣🤣Mdau umeona coment za wasio na ela huko juu....wakaacha kutaja bei na kugeukia neno advantage mamaeee...
Kweli maisha magumu
Pamoja mkuu Mungu akubariki kwa moyo huoAsante sana Mkuu kwa kuwafahamisha
Ndio maana nikarudi kwenye Uzi wake kuthibitisha pamoja mkuuMdau umeona coment za wasio na ela huko juu....wakaacha kutaja bei na kugeukia neno advantage mamaeee...